donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Hhahahahahhahahahhaaaaaaaa
*** him...
Maaamaaaaeeee zakeeee waalaahiii aahahahahhahahahhaa. Huyo ni sawa anakwambia kweeendraaaa huku anakulazimisha ubaki looh.
Ndo maana huwa napenda kujigharamia mwenyewe na kujifanyia mambo yangu mwenyewe. Sitegemei mtu yeyote yule, gharama zangu ni wajibu wangu sio mtu mwingine.
Pole kwa huyo gelofrendii hahahhahaaa, hasa kama alisomea HKL au KLF aahahahahhahaaa
I can see how her face looks like.
Ila hata kama huyo girlfriend hakusoma hesabu au hakusoma kabisa, kwa ulimwengu huu wa teknolojia, unalikopi hilo swali kwenye simu kisha unawatumia watu wali solve kuhakikisha wanapata tarakimu 4. Sasa boyfriend akirudi jioni ndo atashaa kukuta shopping ilifanyika kama kawaida hehehehheeee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tena unakomba kasalio kote anakuta nyumba imesheheni mazaga.Hhahahahahhahahahhaaaaaaaa
*** him...
Maaamaaaaeeee zakeeee waalaahiii aahahahahhahahahhaa. Huyo ni sawa anakwambia kweeendraaaa huku anakulazimisha ubaki looh.
Ndo maana huwa napenda kujigharamia mwenyewe na kujifanyia mambo yangu mwenyewe. Sitegemei mtu yeyote yule, gharama zangu ni wajibu wangu sio mtu mwingine.
Pole kwa huyo gelofrendii hahahhahaaa, hasa kama alisomea HKL au KLF aahahahahhahaaa
I can see how her face looks like.
Ila hata kama huyo girlfriend hakusoma hesabu au hakusoma kabisa, kwa ulimwengu huu wa teknolojia, unalikopi hilo swali kwenye simu kisha unawatumia watu wali solve kuhakikisha wanapata tarakimu 4. Sasa boyfriend akirudi jioni ndo atashaa kukuta shopping ilifanyika kama kawaida hehehehheeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tena unakomba kasalio kote anakuta nyumba imesheheni mazaga.
Calculus haijawahi kumuacha mtu salama, mambo ya D.E hayo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahhahahahaaa Calculus was my best numbers, sijui ilikuwaje ila ilitokea kuwa naziweza sana na nazijua mnoo. Kinyume chake sasa, mie aljebra ndo ilinisumbua.
[emoji23]Kudadeki
Mimi kwanzia Coordinate II, numerical methods, Calculus, Algebra, Kinematics nilikua nanyoosha balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tena unakomba kasalio kote anakuta nyumba imesheheni mazaga.
Uko vizuri, hongera sana. Nachoshukuru Mungu hesabu sikuwahi kupat chini ya 40. Maksi ya chini ilikuwa 41 kuanzia vidudu hadi namaliza elimu ya juu.
Hahaha!Hhahahahahhaaa kama alinuia kukukomoa akirudi akikuta hivyo lazima anune au aanze kuumwa ghafla hehehehheee.
Umetisha!Got both As olevo n alevo
Got both As olevo n alevo
Sasa kama unajua Calculus kwanini usichukue ATM card uende bank ku withdraw mkwanja?Hahhahahahaaa Calculus was my best numbers, sijui ilikuwaje ila ilitokea kuwa naziweza sana na nazijua mnoo. Kinyume chake sasa, mie aljebra ndo ilinisumbua.