Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,663
Hili linanisumbua akili kidogo, nauliza tu jamani hivi kuna mwanaume ambaye yupo tayari kuingia ktk majukumu ya ki ndoa lakini akasubiri asifanye ngono kabla ya ndoa? Nahitaji tu kujua kama wapo maana hii imekua kawaida sex before marriage, nimesikitika sana hata wale ninao waamini kua ni wacha Mungu wanafanya ngono kabla hawajaoa na kusali wanasali sana tu, inatishia amani hata kwa wadogo zetu mabikra watajifunza nini hapa. Kwani kama unampenda mtu akakwambia msubiri tatizo liko wapi? Si unampenda au siku hizi watu hawapendi?
Usubiri nini labda,Hili linanisumbua akili kidogo, nauliza tu jamani hivi kuna mwanaume ambaye yupo tayari kuingia ktk majukumu ya ki ndoa lakini akasubiri asifanye ngono kabla ya ndoa?
Nahitaji tu kujua kama wapo maana hii imekua kawaida sex before marriage, nimesikitika sana hata wale ninaowaamini kuwa ni wacha Mungu wanafanya ngono kabla hawajaoa na kusali wanasali sana tu, inatishia amani hata kwa wadogo zetu mabikra watajifunza nini hapa.
Kwani kama unampenda mtu akakwambia msubiri tatizo liko wapi? Si unampenda au siku hizi watu hawapendi?
Yes tunaweza kusibiria bila shaka...
Tatizo lipo kwa mwanamke... Mwanaume unaweza kuvumilia na kusubiria, lakini mwisho wa siku mwanamke unayemsubiria anakuja kuliwa kizembe na mwingine... Alafu anakuja na story za bahati mbaya...
Cc: mahondaw
Love you more... Say anything...
Kuchungulia tobo kabla ya ndoa nimuhimu ili ujue kama umepick kibanio, mtaro, rambo, au tundu la sindano ko unajiandaa vizuri kwa mechi ndefu za ndoa. Izo za kusubiri mpaka marriage ndo izo zina michepuko, hazina amani, zinavunjika kwa sababu kama mtu alijipa matumaini ya tundu la sindano afu akakuta goli la uwanja wa uhuru, au mwanamke alietumai kupigwa round 2000 afu akakuta mzee mzima unaishia nusu km lazima atafute mpango wa kando ko ni muhimu kabisa kujuana kabla ya kuswekana ndaniHili linanisumbua akili kidogo, nauliza tu jamani hivi kuna mwanaume ambaye yupo tayari kuingia ktk majukumu ya ki ndoa lakini akasubiri asifanye ngono kabla ya ndoa?
Nahitaji tu kujua kama wapo maana hii imekua kawaida sex before marriage, nimesikitika sana hata wale ninaowaamini kuwa ni wacha Mungu wanafanya ngono kabla hawajaoa na kusali wanasali sana tu, inatishia amani hata kwa wadogo zetu mabikra watajifunza nini hapa.
Kwani kama unampenda mtu akakwambia msubiri tatizo liko wapi? Si unampenda au siku hizi watu hawapendi?
Kuna wale ambao wakikukuta bado bikra watasubiri lakini pale unaposema 'uliumizwa na sasa umeamua hivi' ni wachache ambao watakuelewa.
Trouble starts when you want to eat your cake and have it.Halafu ujue kuna baadhi wamezuka siku hizi wakidai hawajaguswa ili kuwateka akili njembas ili watangaze ndoa haraka haraka kumbe wanauvaa mkenge. Ila njemba ikiwa korofi itakuwa nongwa. "Nilikuoa kwa sababu ulinidanganya kwamba wewe ni bikra." Ndoa inaweza kuingia dosari kubwa haraka sana.
Trouble starts when you want to eat your cake and have it.
Hili linanisumbua akili kidogo, nauliza tu jamani hivi kuna mwanaume ambaye yupo tayari kuingia ktk majukumu ya ki ndoa lakini akasubiri asifanye ngono kabla ya ndoa?
Nahitaji tu kujua kama wapo maana hii imekua kawaida sex before marriage, nimesikitika sana hata wale ninaowaamini kuwa ni wacha Mungu wanafanya ngono kabla hawajaoa na kusali wanasali sana tu, inatishia amani hata kwa wadogo zetu mabikra watajifunza nini hapa.
Kwani kama unampenda mtu akakwambia msubiri tatizo liko wapi? Si unampenda au siku hizi watu hawapendi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni pale tu when BAK meet sky... Heaven...pasipo kujua nini kinaendelea kati ya wakuu haoYeah! I know