chillo clan conscious
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 850
- 1,576
[emoji23][emoji23][emoji23]Inaitwa 'orgumbau' kwa kimaasai. Sio ile ya kunusa na huwa inatumiwa na wazee. Tobacco pamoja na magadi, eroo achana na hiyo kitu nchore lai. Ukiitumia na wewe sio mzoefu magoti huwa yanaisha nguvu ghafla na kichwa kinalegea hadi unatafuta sehemu ya kukaa chini. [emoji38] Nkaimoguarani, ushoo tapala roi!
Sawa.Mimi siyo huyo Umdhaniaye Ndugu bali Mimi ni Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person MINOCYCLINE Ndugu sawa?
Ahahaha mlikuwa mnabishana nni na popoma mwandamiziSawa.
Pamoja na hayo, lakini pia wewe ni PURELY TALENTED, kwa mujibu wa maoni yangu mkuu!
Au ni kosa ukiwa GIFTED INTELLECTUALLY, KNOWLEDGEABLE, CHALLENGER AND WELL INFORMED PERSON halafu pia ukawa PURELY TALENTED?
Au umenielewa vibaya mkuu?
Hahahaaaa, jamaa kila nikimwambia kuwa yeye ni PURELY TALENTED FELLA, anaruka fupi mia kwamba ninamfananisha na mtu mwingine, simuelewi!Ahahaha mlikuwa mnabishana nni na popoma mwandamizi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hali itakuaje mbna kuna member humu kanishauri kuwa nimeze ikiwa Nina kosa choo Mara kwa maraFanya vyote lakini usijaribu kuumeza ugoro...kitakacho kukuta utosahau.
Ugonjwa wangu huo. Tunaitaga stakeMe nataman kujua milungi stimu zake zikoje
Vip na wababa wagane na wasio na wenza?Kwa kimombo unaitwaje?
Kule Kanda ya ziwa hasa mkoani Tabora wamama wajane na wasio na wenza hutia ugoro ukeni kuzima ashki.
wangu huo. Tunaitaga stake
Zaidi ya kuleStimu zake zikoje et
Zaidi ya kule
Piga puliVip na wababa wagane na wasio na wenza?