Kuna mwana JF anatumia ugoro?

Kuna mwaka nlikuwa naumwa jino nkaambiwa ugoro ni dawa, nkautafuta nkatia mdomoni bhana na kumeza mate, asee nlilewa kama saa 4 hivi nahisi kichwa kinazunguka tu.

Kuna miili ya vilevi asee siye wengine tuacheni tunywe juice tu.
Ni kweli mkuu.....ugoro unasaidia kutuliza maumivu ya kuuma kwa jino....wahanga waliosaidika na ugoro wanalitambua hili😬😬😬
 
Vijana wa Chadema ukiwapiga sachi kati ya kumi nane utakuta wanayo mfukoni.

Na ndio asilimia kubwa ya wanaotumia double kick pia.
 
Kuna mwaka nlikuwa naumwa jino nkaambiwa ugoro ni dawa, nkautafuta nkatia mdomoni bhana na kumeza mate, asee nlilewa kama saa 4 hivi nahisi kichwa kinazunguka tu.

Kuna miili ya vilevi asee siye wengine tuacheni tunywe juice tu.
Ile hata watumiaji maarufu hawathubutu kumeza yale mate ya ugoro,ile kitu ni kuna wanaouweka chini ya nyayo za mguu na wanapata stimu fresh
,na nasikia kuna wamama huko Tabora wanauweka huko kwa bibi kukata stimu
 
hii kitu nna mwaka wa 10 natumia nimeshajaribu kila njia kuacha nimeshindwa
 
Babu kweli unapitia fb na una let's screen shot zake humu hpn kwa kweli siyo ssaawa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ukipata majibu ya wana JamiiForums Watumiaji Ugoro nakuomba uje na Uzi mwingine tena na Uulize je, kuna wana JamiiForums wanaovuta Bange?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…