goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,839
- 13,129
Jana nilipita mitaa ya makumbusho kuna bishoo fulani kijana nilikutana nae na kwa muonekano ni mtanashati asna tu. Baada ya dakika kadhaa nikamuona anazama mfukoni na kuibuka na ugoro chapu akafungua na kuutia mdomoni!
Nikasema kama huyu kijana anatumia hivi vitu je, kwa walio secondary si balaa? Je, nini mzuka wa kutumia ugoro, mzuka wake ukoje?
Haijajulikana mara moja athari za matumizi yake kiafya mpaka sasa kwa watumiaji wake. Hivi ugoro kama bangi tu ukikamatwa nayo si kesi hyo ama vipi?
Hivi asili ya ugoro ni kabila gani? Kwa wamasai wanaita ndiani je, kwa kabila lenu mnaitaje?
Note:
Kuna rafiki yangu aliwahi kutumia ugoro kumzima mwanamke aliyemnywea bia zake, alichukua ugoro kidogo na kuchanganya katika bia anazo tumia yule mwanamke badaa ya muda fulani mwanadada alilewa na kushindwa kujitambua. Alijibebea mwanamke huyo kiulaini na kwenda nae kwake. Mpaka sasa haijajulikana kilichotokea!