Tafuta namna umshitue muhuni.Habari Wana Jf
Nilikuwa busy mno kiasi ambacho muda mrefu sikuwa active na jf.Ndugu zangu nina rafiki mmoja wa kike ni mwanamke mzuri sana na pia yupo full package ana vitu vyote ambavyo Wanaume wengi wanavipenda.Kutokana urafiki wa Karibu
Anajua ana mtu wake na still anatengeneza mazingira ya mimi kumgonga alafu unasema mtu wa namna hii atabadilika?Kausha, watu hubadilika, anaweza tulia mkashangaa, pia akizingua mwamba atamtosa tu, so waache waoane
Mkuu sijaoaFanya yako mkeo unajua historia alipotokea
Nikifanya hivyo uoni kosa kabisa?Lete Picha tuone kama Manzi ni Mzuri kweli.
amekwambia hajabadilika?Habari Wana Jf
Nilikuwa busy mno kiasi ambacho muda mrefu sikuwa active na jf.Ndugu zangu nina rafiki mmoja wa kike ni mwanamke mzuri sana na pia yupo full package ana vitu vyote ambavyo Wanaume wengi wanavipenda.Kutokana urafiki wa Karibu nilionao na yeye aliwahi kunitengenezea mazingira ya kumgonga but binafsi sikuwa willing kwasababu nina yajua mazingira yake ni demu ambaye anagawa ovyo sana bila kujali hata rika uwe mzee au laah ilihali tu uwe na pesa, Sasa huyo demu amechumbiwa na mwamba mmoja na anaishi kwa huyo mwamba baada ya kujua Hilo namsikitikia jamaa kwasababu huyo manzi anapenda maisha ya luxury,kicheche,mnywaji wa pombe Kali mno sijajua jamaa kashindwa kujua haya yote.
Mbaya zaidi anakuwaga anakaa mikoa miwili tofauti mkoa A ndio Wazazi na huyo mtu wake anaishi nae mkoa B anasema anaenda kwaajili ya biashara ndio ambapo mimi nipo sio biashara wala nini ndipo ambapo mabwana zake wapo ndio huko wapo wengi na ushenzi anapofanyia
NB: Mwamba nadhani kvutika na uzuri wa manzi bila kumjua kwa undani sijui kwanini sisi Wanaume hatufanyi research ya kutosha kabla ya kuoa na wale kampeni wakataa ndoa wanapata nguvu kuzidisha kampeni kama hali ni kama hivi
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.Habari Wana Jf

Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.
Asijaribu. Umbea kwenye mapenzi yasomuhusu atakuja kuonekana mbaya.Tafuta namna umshitue muhuni.
Wapwa kuokoana.
Achana na mapenzi ya watu utakuja ushushuke ubaki na aibu.Anajua ana mtu wake na still anatengeneza mazingira ya mimi kumgonga alafu unasema mtu wa namna hii atabadilika?
Wivu wangu uko wapi kwanza?utakaekuja kumuoaa kuna mtu ana story zake akikuadithia utazimiaaa....!! so punguza kiherehereee maan kiukweli roho inakuuma mwana kubeba chombo unamuonea wivu mtoto wa kike kuolewa??? KAOLEWE WEWE BHASI. #mambo ya afande hayo unaleta
huwezi sema ila ndio ukweli mmeachana fata yako achana na maisha yake.Wivu wangu uko wapi kwanza?
Nitakuaje na wivu na demu ambaye si mtu wangu na wala sijawahi kumgonga japo alikuwa ananioneshea mazingira ya mimi nimgongehuwezi sema ila ndio ukweli mmeachana fata yako achana na maisha yake.