Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
- Thread starter
- #1,441
Nilihisi siku nyingi unanizia nikawa sina uhakika! Pole kwa kutesa! Njoo PM

Nilihisi siku nyingi unanizia nikawa sina uhakika! Pole kwa kutesa! Njoo PM

hahahhhhAnafaa sana tu, ila kwa matumizi ya nyumbani tuu
hewaaa hapo sawaWe usikate tamaa Shunie anataka aanze kuona mpesa
hahahhhhMzizi best au we hujastuka
hahahhhh niambie tu sikimbiiNi Mtanzania, maana kabila lake litakutoa roho
hahahhhhKuwa mpole sasa, we mjibu na emoji tuu, maana naona mwandiko ka Bashite
Hem fafanua haha haaa unavitokoMzizi best au we hujastuka
Kuwa mpole sasa, we mjibu na emoji tuu, maana naona mwandiko ka Bashite

MmmhAndika ka Daby
Halafu katoe huo mgari hapo, Shunie hapendi magari
Mmmhhivi ww hueleweki mara mm mara sakayo usije ukawa mtu wa 3some mm bwana nina baby wangu nampenda ananipenda
Hahaha...mo bhanakweli siku zinakimbia eti nimelainika kwa busu
Nimenyanyasika hapa ndugu wwee acha tuMmmh
Haha sema sasa hivi atakuwa kalala. Kesho nitakusaidia kazi.Angalia avater ndo ujue ilikwepo kazi
Maskini akipata anawasahau wenzake.Shem nae kaja akaanza kuponda badala ya kupamba dah