Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Umeonaeeehahahhahah machale yakicheza unaenda chungulia![]()
Haiwezekani ake pale pale kila siku, lazima kuna kitu
Umeonaeeehahahhahah machale yakicheza unaenda chungulia![]()
kwahyo mmeonana au mmetumiana picha![]()
![]()
![]()
mambo waaaaaa....
Mkuu tabasamu lako limenisisimua...
ndio kutakua na kitu tu yaan utafkili kawekewa super glueUmeonaeee
Haiwezekani ake pale pale kila siku, lazima kuna kitu
Hehehe, watu na baby zao!!
Sasa wenzake wametinga suti yeye kaweka mgari wake pale
sakayo wewe umenichekesha thaanaaYaani yule ni wa kuleeehahahahhah halaf sio lazima gari ujue kuna avatar nyingine zina ushawishi ila chizi ww
Tumeonanakwahyo mmeonana au mmetumiana picha
hahahahh sbbu ya gari ndio mana umehisi wa kule ngoja aje tutakomaYaani yule ni wa kuleee
Haiwezekani asiwe mbunifu kabisaa, aweke hata miguu kuanzia magotini kushuka chini tuone uzi
Hehehendio kutakua na kitu tu yaan utafkili kawekewa super glue
Yeye anajua mapenzi gari![]()
![]()
![]()
sakayo wewe umenichekesha thaanaa
But kweli
Sakayo wameonanaTumeonana

safi sna kwahiyo mmekua couple halaf husna unajiamin sna mpk kuwa mchepuko umekubaliHusna acha uongo!!! Eheee ikawajeTumeonana
kwan ww unanitaka/] mpk nikukubali ndio mana nasema sikuwezi mm acha nikuache na sakayo
Sasa we gari la nini, au wapenda gari mwenzanguhahahahh sbbu ya gari ndio mana umehisi wa kule ngoja aje tutakoma
Natumai ntapata jibu kupitia wewe pacha wake mana dahHumuwezi kivipi sasa pacha angu
Nchape tu mama...Wee ntakuchapaa![]()
![]()
Hapo ndo sijaamini yaani, kuna watu wana bahati mpaka naona wivuSakayo wameonanasafi sna kwahiyo mmekua couple halaf husna unajiamin sna mpk kuwa mchepuko umekubali
Sina mpendwa sina kabsaa itakua nshapita kwa hiliKama ana kitambi naomba tuishie hapa, khaaa hapana