Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Jiulize Kwann wehu wanazaa? Tena wanaowapa mimba ni watu Wazima wenye akili TIMAMU.

Nyoka huwa hachagui shimo lakuingia.
Kamwe Nyoka haingii shimo lenye Siafu......sometimes Nyoka ana akili kuliko Mwanadamu (ME)!
 
= nilifikiria

Mwambie muoane ID yako inaonesha u Muislam.
Samahani mama,mbona huyu hukumuuliza kama “huko shule mlienda kusomea ujinga?"...ushauri wako mzuri but vipi kama huyo aliempenda sio muislam...afanyeje?
 
Kuna siku ulisema umeolewa leo umemzimikia mtu au una jinsia mbili nn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom