Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Ebu muache bana, naona anaweza kunizimikia mimi hapa.
Nyota yangu nayo imekaa tenge kama muhimili wa Dunia
Ebu badili avatar kwanza usikute hiyo ndio tatizo ujue ndio mana huzimikiwi
 
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Ukitaka kuwa bondia usiogope ngumi za uso....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom