Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Nipo aseeh naona unatoka shavu tu? Wakwe wanakulish nini?Nipo mimi jamaaan za wewe apo
Ujue sijui kabisa.
Au umerenew usajili?



na id nipo mbioni kubadili nani anataka uhenga
Nimekuja jamaan nimemmisss mnoo
Mzee mkoloni anabana....Hapana hua naonekana usiku mwingi siku hizi ila hua sikuoni pia bila shaka na wewe umefichwa
Mmh hujaniuliza hilo swali muhusika enzi hizo aliyezimikiwa ni baba angu mdogo anguNilikuambia ning'ate sikio kidogo nimjue aliyesababisha huu uzi kuundwa hujaniambia


AhahahhhNipo aseeh naona unatoka shavu tu? Wakwe wanakulish nini?
KhaaahAhahahhh
Ndiyo useme sasa.Ahahahhh
Hapana ni kuvurugwa tu sijamfikilia mtu zaidiMzee mkoloni anabana....
Hiyo avatar ya kijana untaka kumn'goa nani humu tena?
Napata kila ninachotaka acha tu nitokwe shavu jamaanNdiyo useme sasa.

Oouh nikajua unaji-kokiHapana ni kuvurugwa tu sijamfikilia mtu zaidi

Aseeh tokwa tu... Afadhali wewe umepata wakwe wazuri maana anti yako kila mwisho wa week hakawiii kurudi nyumbaniNapata kila ninachotaka acha tu nitokwe shavu jamaan![]()
Aseeh tokwa tu... Afadhali wewe umepata wakwe wazuri maana anti yako kila mwisho wa week hakawiii kurudi nyumbani
Utafikiri mwendokasi.






Ahahahhhh
Hapana pumzi zilikata ntasubili kwenye kona tuOouh nikajua unaji-koki![]()
Muite basi huku
Hapana pumzi zilikata ntasubili kwenye kona tu