Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Ishaisha yote, si unajua tulikuwa tunashea akauntiPensheni kabakiza. ...
Ishaisha yote, si unajua tulikuwa tunashea akauntiPensheni kabakiza. ...
Ishaisha yote, si unajua tulikuwa tunashea akaunti



...najua maumivu uliyoyapata nami nimepata hayo hayoWe mbona umemkosea heshima mume wangu eti yupo kwenye list gani sijui!!![]()
![]()
![]()
...
Babu kwa hiyo kwake milango ipo wazi niende! !!!
Sitokaa nikusahau... umenipeperushia ndege wangu.
Nimekusamehe lakini.
Maskini Sakayo wangu,
Kaondoka bila hata kuniaga
Ameniachia majanga,
Moyo umekalumakanga,
Umevimba dungu kama shanga
Ameniacha nashangaaaaaaa
Natamani nitoe chozi,
Nijilaze chini kama chizi,
Nijichimbie kama mizizi,
Dunia haina ajiziiiiii

mtumie hata radi tu huyo na mvua hii hakuna atakayeshangaaTafadhali sheikh... japo kaniacha mi bado nampenda. Niko nafanya juhudi za kumrudisha nyumbani.
Tafadhali heshimu mali za wakubwa zako...
halaf Daby hivi ile vip uliyomaanisha kule mpk nikacheka ni hii au
Shemeji kweli gundu lako umeamua kunisingizia!!!Shemeji yangu umeshiriki kuniharibia cv humu ndani.. ukiniona na katoto basi utakapa taarifa ilimradi ni za uongo siku hiyo hiyo kananiacha. Kama unanipenda si uninon'goneze pm tu shemeji
Hivi ile vip ndio hiiAlikuja mwenyewe nikamtoa nduki nikamwambia mfuate mwenzio

Salaaaalehh!!Hello my ex espy
Yaani majanga yenu mnanisingizia mimiKanatuharibia wengi hako... mi nadhanani kanataka tukafanyie sriisamu...

HahahhhhHivi si ulikuwaga unanitongoza? Uliishia wapi? Au ulighairi?
kama husna kaachwa tusubili kufukuzwa kwenye uzi wake