Kuna mtu kamtibua mwenyekiti Makete huko

Anazuia watu wasilipe kodi aisee huyo anahujumu uchumi wetu
Hahaha mfuko sumenti kuna vitu vinachekesha sana
 
Dhuu mwenyekiti kapata moto ajabu. Mpaka imemsababishia miss kwenye mwandika nimeipenda hiyo fini ya mfuko wa sumenti
 
Mwenyekiti katoa ufafanuzi kuwa huyo ke huwa anakunywa akiwa na mtoto mdogo mgongoni hivyo anahatarisha maisha ya mtoto mdogo ndio maana kapigwa pini na huyo me anahatarisha maisha ya wazazi wake mpaka imefikia hatua ya kuvunja mlango akitaka kuwadhuru. Source TK Fm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom