Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,587
- 1,137
Wakuu nimetumiwa pesa mtu simjui Toka Jana hadi Leo sijapigiwa simu vipi nile? Maana nimechoka kusubiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimrudishie Nani? Na sijapigiwa ndugu yangu ningekua mwizi nishatoa Jana Ile ile
Tulia mkuu pesa za mitandao haziibiwi tutageuzwa nyani shauri yakoNtumie buku ten basi mdau
Mkuu wapi nimeandika Kua Nina njaa? Usinitie hasira utamkosesha pesa mwenzio shauri yakoHizo njaa sasa em mrudishie mwenyewe hela yake je kama alikuwa anamtumia ndugu yake mgonjwa akanunue dawa?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Tutasaidiana kulipa usijaliTulia mkuu pesa za mitandao haziibiwi tutageuzwa nyani shauri yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah tena akuache asikujaribu, we.hujaribiwi!Mkuu wapi nimeandika Kua Nina njaa? Usinitie hasira utamkosesha pesa mwenzio shauri yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengine sijui wakojeHahahah tena akuache asikujaribu, we.hujaribiwi!
We ungefanya?Unazitamani? Sasa kiherehere cha nini? Tulia kama kuna aliyekosea atakwambia utamrudishia hata kama ni baada ya mwezi!
Basi kwa taarifa yako hiyo pesa isharudishwa kwa muhusika ukibisha angalia salio.
Una Jina la mzee wa kusawazisha halafu unaomba msaada wa kusawazisha ishu ndogo hivyoWakuu nimetumiwa pesa mtu simjui Toka Jana hadi Leo sijapigiwa simu vipi nile? Maana nimechoka kusubiri
Sent using Jamii Forums mobile app