Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,616
Mkuu huwezi jua uliyemtumia ana shida gani.
Fikiria ndo wewe alafu una shida zako ukakosea kumtumia mtu na ukajua imeshamfika ukapotezea hata kumuuliza,je ungependa iende hivi hivi tuu?
Basi mkuu we kubali kugharamia weka vocha mpigiee simu kwa hyo namba,na kama imekuja kwa namba ya wakala basi eidha mtumaji alikuwa njiani kwa wakala kiasi kwamba alipotuma tu akaondoka na wakala yupo mbali na mtumaji.
Muhimu skili,ia kwanza,huwezi jua,unaweza kuanzisha urafiki na mtu ambae umemfanyia wema kama huo mpaka ukasema kumbe kutenda wema kuna faida zake sana.
Jaribio ls Mungu hilo,usikubali kufeli jaribio la Mungu kwa alfu hamsini mkuu,piga one ya point 7 hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app