Kuna mtu kajichanganya katuma pesa eatel money Tsh 50000 wadau vipi niitoe?

Mm nilitumiwa message imeanza na neno TIGOPESA Kwa namba mpya kuwa umepokea T-sh 198000 na salio lako jipya ni T-sh 622000.dk moja mbele nikapigiwa simu Mtu anasema anapiga simu toka TIGO nikaanza kuirecord.mara ananiuliza napiga Simu kutoka Tigo samahani naongea na Nani? Nikamwambia winfrida Haule.Akaniuliza Winfrida upo Wapi kwa Sasa hivi, nikamwambia nipo Dar es salaam.
Mara ya mwisho ulitumia huduma gani ya tigopesa ulitoa hela au uliweka na unaweza kukumbuka mara ya mwisho ulikuwa na kiasi gani? Nikamjibu ngoja nicheki salio.. itaendelea hapo chini...
Unamaanisha walikuwa matapeli?
 
Unamaanisha walikuwa matapeli?
Ndiyoooo niliwagundua mapema..walikuwa wakiniuliza maswali ya kijinga nikawa sitoi ushirikiano..mfano unakumbuka ni kiasi gani kimeingia kwenye akaunt yako dakika Kumi zilizopita? Huku namba hiyohiyo Ndo imetuma meseji na hiyohiyo ndo imenipigia. Nitaendelea hapo chini
 
Back
Top Bottom