Kuna mtu kajichanganya katuma pesa eatel money Tsh 50000 wadau vipi niitoe?

Unazitamani? Sasa kiherehere cha nini? Tulia kama kuna aliyekosea atakwambia utamrudishia hata kama ni baada ya mwezi!
 
fikiria mara mbili mbili kama ni sahihi ama laah maana bado bado uamuzi ni wako. usijekuwa mtego nawe ukaingia mzima mzima
 
Back
Top Bottom