Kuna mtu jasiri zaidi ya Tundu Lissu amewahi kutokea Tanzania?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,243
Reaction score
90,302
Uwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango.

Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!

Sijui ataweza kuendelea mpaka huko mbeleni kwa hii spirit yake ya mapambano kwa sababu binadamu nao hufika mahali wakakata tamaa lakini mpaka sasa hakika anastahili tuzo au nishani ya Mtanzania jasiri zaidi.
 
Uwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango. Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!

Ukimtoa MANDELA anafatia TAL hapa Africa
 
Yeye si jasiri tu bali ni genius ana uelewa mpana wa mambo mbalimbali na ni nguli wa sheria,Nchi za wenzetu vipanga kama Lisu huwa Hazina na wanawatumia ipasqvyo ila hapa kwetu wanapiga risasi na kuwekwa gerezani,watesi hawaki challenges wanataka mazwazwa ,vipanga kama Lisu hawatakiwi kabisa

Maana ukisema tu jasiri ata mtikila alikuwa jasiri hakuogopa yeyote
 
Mandela hamfikii Tundu ,

Mandela hajawahi kupigwa Risasi Aisee , Ujasiri wa Tundu umeshindikana Bahati mbaya iliyopo kwake ni kwamba anaishi ktk wakati Ambao Kuna Kizazi Cha Hovyo kinachopatikana katika Ardhi ya Tanzania, Kwa Ujasiri Alionao Alipaswa kuzaliwa katika mataifa ya watu wenye Akili nyingi na Ari kubwa yenye uthubutu
 
Hayupo.

Kwa Tanzania Sidhani kama kuna mtu jasiri kuliko Lissu.

Kama yupo labda yule ambaye hana pa kusemea.Bado hajawa public figure.

Unakumbuka wakati wa jiwe?

Watu wote waliufyata hakuna aliyejaribu kufungua mdomo wake kuongea hata rais mstaafu JK aliufyata baada ya kuambiwa anawashwawashwa.

Ni Lissu pekee aliyesimama na ku battle na jiwe toe to toe.

Hata baada ya kumiminiwa risasi zaidi ya 30 watu wakajua atafyata lakini kinyume chake,akaendeleza harakati kama kawaida.
 
Uwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango.

Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!

Sijui ataweza kuendelea mpaka huko mbeleni kwa hii spirit yake ya mapambano kwa sababu binadamu nao hufika mahali wakakata tamaa lakini mpaka sasa hakika anastahili tuzo au nishani ya Mtanzania jasiri zaidi.
20250816_202504.jpg
 
Wewe unaongea nini isee kuna watu majasirinkama wazee wa tanu wakiwa na mwalimu Nyerere in 1950s yaani imagine wanaenda kudai uhuru yaani wapewe nchi ambayo hawajaiunda wala kuitengeneza wao.
kuna vitu vinafikirisha sana.
 
Uwe unazikubali au hauzikubali harakati zake za siasa bila shaka jambo moja ambalo wote tunakubaliana nalo kwa wanaompenda jacket kumchukuia Tundu Antipas Lissu ni ujasiri wake ulioptiliza viwango.

Mpaka sasa katika historia ya Tanganyika na Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye ujasiri kumzidi Tundu Lissu, huyu mtu katika yote aliyopitia angekuwa Mtanzania wa kawaida tu tayari angeshanyoosha mikono juu na kujisalimisha ila mpaka sasa yeye yuko anapambana na hakati tamaa!

Sijui ataweza kuendelea mpaka huko mbeleni kwa hii spirit yake ya mapambano kwa sababu binadamu nao hufika mahali wakakata tamaa lakini mpaka sasa hakika anastahili tuzo au nishani ya Mtanzania jasiri zaidi.
Mchungaji
 
Mandela hamfikii Tundu ,

Mandela hajawahi kupigwa Risasi Aisee , Ujasiri wa Tundu umeshindikana Bahati mbaya iliyopo kwake ni kwamba anaishi ktk wakati Ambao Kuna Kizazi Cha Hovyo kinachopatikana katika Ardhi ya Tanzania, Kwa Ujasiri Alionao Alipaswa kuzaliwa katika mataifa ya watu wenye Akili nyingi na Ari kubwa yenye uthubutu
Lissu gerezani hata mwaka hajamaliza kaanza kulia lia mazingira mabovu Madiba aligonga 27 years acha michezo mkuu
 
Yeye si jasiri tu bali ni genius ana uelewa mpana wa mambo mbalimbali na ni nguli wa sheria,Nchi za wenzetu vipanga kama Lisu huwa Hazina na wanawatumia ipasqvyo ila hapa kwetu wanapiga risasi na kuwekwa gerezani,watesi hawaki challenges wanataka mazwazwa ,vipanga kama Lisu hawatakiwi kabisa

Maana ukisema tu jasiri ata mtikila alikuwa jasiri hakuogopa yeyote
Siasa ndivyo zilivyo hasa Afrika
 
Back
Top Bottom