Kuna mtu ashawahi kupokea Parcel kutoka aliexpress kupitia Speedaf?

Mimi jana tu nimepita kuchukua changu pale. Nadhani mizigo midogo huwa haina komplikesheni sijajua mingine. Last year niliagizaga mzigo sijawahi upata mbaka leo. Hata taarifa pia kama zimeyeyuka. Lakini nahisi seller hakuwa mwaminifu maana nimeanza kuagiza vitu aliexpress tangu 2019 na huwa napata bila shida yoyote
 
Nahisi itakua ipo tu mkuu mm niliagiza mzgo kipindi cha korona ukapoteleana nikaja kushangaa juzi naitwa posta naukuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom