Kuna mtu ashawahi kupokea Parcel kutoka aliexpress kupitia Speedaf?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,583
4,615
Habarini wajameni, kuna mtu humu ashawahi kununua bidhaa aliexpress halafu zikatumwa kupitia speedaf?

Mbona naona kama wanazingua? Maana nimeagiza mzigo wamekaa nao sipigiwi simu wala nini ukiwatafuta wanasema wanafanya free delivery sasa mimi nikawaomba nikachukue mwenyewe ofisini eti wanadai hairuhusiwi eti hadi wakuletee mwenyewe

Mimi siwaelewi hawa watu kabisa bora posta.
 
Parcel za aliexpess hazitotumwa kwa posta tena watatuma na speedaf kuna mtu ashawahi kutumiwa kwa speedaf?

Habarini wajameni, kuna mtu humu ashawahi kununua bidhaa aliexpress halafu zikatumwa kupitia speedaf?

Mbona naona kama wanazingua?Maana nimeagiza mzigo wamekaa nao sipigiwi simu wala nini ukiwatafuta wanasema wanafanya free delivery sasa mimi nikawaomba nikachukue mwenyewe ofisini eti wanadai hairuhusiwi eti hadi wakuletee mwenyewe

Mimi siwaelewi hawa watu kabisa bora posta
 
Ndio naisikia hiyo speedaf leo, nliifahamu posta tu. Niongezeeni maarifa zaidi kwa faida ya wengine. Napenda kujua, parcel kama simu wanakubali kusafirisha, mwisho mzigo parcel ya uzito gani, hakuna upotevu wa parcel.
Hamna ambacho hakisafirishwi mkuu

Mizigo kupotea ni nadra sana na kama ikitokea, hela yako unarudishiwa
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom