Kuna mtu ashawahi kupokea Parcel kutoka aliexpress kupitia Speedaf?

Ongea na muuzaji na mlinki na kampuni zinazosafirisha mbona rahisi na natumia sana
 
Nimeona mzigo wangu upo ofisini kwao na mtu wa kudelivery kaonyeshwa pale na number yake ya simu ipo ..kesho itabidi niibuke maana kudelivery wanaweza chelewesha....

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nilipokea ofisini kwao mikocheni pale

Wewe nenda kachukue mzigo wako ukisema usubiri wakuletee watakuchelewesha
 
Nimeona mkuu,inabidi tukae ki ninja tusije kupigwa
 
Vp mkuu ulipata?
Ndio nimepata mizigo yangu yote Leo..
Wakuu tuwape muda speedaf Naona ndio kwanza wameanza kuoperate inaonekana wanachangamoto kadhaa wanatakiwa kusolve.....ITS BETTER SPEEDAF KULIKO POSTA.
1.Mzigo nimepata ndani ya siku 8 lakini ingekuwa posta ni siku 35 Hadi 60
2.pia hakuna gharama zozote zile maana posta Kuna Ile fee ya post 5,900 na pia Kuna lungu la TRA kama mzigo umezidi dollar 50
3.Jamaa Wana delivery free Kwa mteja .
Kama una haraka Sana ndio unaweza kwenda kuchukua ofisini kwao baada ya kupata track info Kwamba mzigo umeshafika ofisini kwao

Umepata mzigo ndani ya siku nane kutoka China hadi ulipoutia mkononi au siku nane baada ya kutua bongo

Halafu nadhani kwa sasa wanatoa mizigo bure kama kuvutia wateja ila mbeleni charges zitakuwepo
 
Ndio nimepata mizigo yangu yote Leo..
Wakuu tuwape muda speedaf Naona ndio kwanza wameanza kuoperate inaonekana wanachangamoto kadhaa wanatakiwa kusolve.....ITS BETTER SPEEDAF KULIKO POSTA.
1.Mzigo nimepata ndani ya siku 8 lakini ingekuwa posta ni siku 35 Hadi 60
2.pia hakuna gharama zozote zile maana posta Kuna Ile fee ya post 5,900 na pia Kuna lungu la TRA kama mzigo umezidi dollar 50
3.Jamaa Wana delivery free Kwa mteja .
Kama una haraka Sana ndio unaweza kwenda kuchukua ofisini kwao baada ya kupata track info Kwamba mzigo umeshafika ofisini kwao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mimi mwenyew niliufata jana pale mikocheni 162 au ndo wewe tulikua pale
 
Ndio nimepata mizigo yangu yote Leo..
Wakuu tuwape muda speedaf Naona ndio kwanza wameanza kuoperate inaonekana wanachangamoto kadhaa wanatakiwa kusolve.....ITS BETTER SPEEDAF KULIKO POSTA.
1.Mzigo nimepata ndani ya siku 8 lakini ingekuwa posta ni siku 35 Hadi 60
2.pia hakuna gharama zozote zile maana posta Kuna Ile fee ya post 5,900 na pia Kuna lungu la TRA kama mzigo umezidi dollar 50
3.Jamaa Wana delivery free Kwa mteja .
Kama una haraka Sana ndio unaweza kwenda kuchukua ofisini kwao baada ya kupata track info Kwamba mzigo umeshafika ofisini kwao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nisaidie mawasiliano yao kama hutojali. Kuna mzigo nataka kuagiza, nami nilizoea posta zaidi.
Huenda nikapendezwa nao kihuduma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Sina number zao ..ila location ya ofisi iko migombani street ..utafika huo mtaa utaona nyumba pembeni ya geti Kuna rangi nyeupe imeandikwa number 165...au Kwa njia rahisi ukishuka pale kituo Cha zantel msasani Kuna njia inayoshuka kuja kairuki hospital..ukienda na hiyo njia sio mbali ni mkono wa kulia utaona...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Sina number zao ..ila location ya ofisi iko migombani street ..utafika huo mtaa utaona nyumba pembeni ya geti Kuna rangi nyeupe imeandikwa number 165...au Kwa njia rahisi ukishuka pale kituo Cha zantel msasani Kuna njia inayoshuka kuja kairuki hospital..ukienda na hiyo njia sio mbali ni mkono wa kulia utaona...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umeeleza vizuri sana mkuu. Barikiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom