Nenda mtaa wa samora jengo la Mwisho kama unatoka clock tower mkono wa kushoto karibu na askari monument. Wapo nje nje wengi tu. Ni pesa yako tu quality ya kazi zao ni nzuri sana.Mwenye kujua anisaidie, sehemu gani wanapotengeneza mihuri ya kisasa (ukiachana na ile ya mbao ya kuchonga) tafadhali kwa yeyote anayefahamu kwa hapa dar es salaam au morogoro anielekeze,
je gharama yake uwa ipoje.
asanten
Hapa unazungumzia kariakoo au posta mkuu, maana mimi sio mwenyeji sanaNenda mtaa wa samora jengo la Mwisho kama unatoka clock tower mkono wa kushoto karibu na askari monument. Wapo nje nje wengi tu. Ni pesa yako tu quality ya kazi zao ni nzuri sana.
Mzee naona uzi wangu umekuja kutolea ushauriKuna vitu ambavyo vinaathiri uchumi wetu lakini bado havijatengenezewa utararibu.
1.Suala la kila mtuy kujichongea muhuri wake mitaani limesababisha kuwepo kwa fraud nyingi sana. Nashauri kiundwe kitengo cha serikali na mihuri yote itolewe na serikali baada ya wote waliopewa kusajiliwa na kupewa official seal zenye utambulisho usioweza kughushiwa kirahisi sio haya maraba yanayochongwa mitaani.
2. Ticket za mabasi na zenyewe zitumie online methodd ambapo kila mabi litaweka bei zake kweny mtandao ambao utatengenezwa na kusimamiwa naserikali na ntu anachagua ruti na basi la garama anayoitaka anapewa control no. analipia na kodi ya sirikali inakatwa na kinachobakia kampuni ya basi usika inacgukua
ndio kwa maslahi ya Taifa
Dogo umetoka Facebook nini
India street uliza wachonga mihuiriMwenye kujua anisaidie, sehemu gani wanapotengeneza mihuri ya kisasa (ukiachana na ile ya mbao ya kuchonga) tafadhali kwa yeyote anayefahamu kwa hapa dar es salaam au morogoro anielekeze,
je gharama yake uwa ipoje.
asanten