Kuna mtu anafahamu kuhusu Altai Balance?

SHIGOTTO

Senior Member
Sep 4, 2018
156
280
Ndugu naomba kujuzwa Kama Kuna mtu anayefahamu kuhusu ALTAI BALANCE ni virutubisho vinavyotibu sukari ambavyo nimeona vinapigiwa debe kwenye mitandao na imekuwa maarufu huko marekani.

Kama Kuna mwenye ufahamu anijuze tafadhar maana sukari insnisumbua
 
Its Brand name, virutubisho vya ukweli vipo kwenye vakula vya asili.
 
Mbegu za maboga...

Pata kuva..

Bamia..

Maji na kipande Cha ndimu

Chia seed
 
Back
Top Bottom