Kuna mtu ana mrejesho kuhusu kazi za EAC

don classic

Member
Aug 24, 2020
35
37
Wakuu naomba kama kuna mtu ana mrejesho wowote kwa zile kazi za EAC zilitangazwa juzi.

Nakumbuka mwaka jana walitangaza, nikaomba nikaona kimya Mwaka huu wametangaza tena nafasi zilezile ila bado kuna kaukimya. Kuna yoyote ameitwa hata interview wakuu?

Nataka ili nisiendelee kuwa na matumaini kama imepita
 
Back
Top Bottom