Kuna msichana yeyote wa JF Arusha?

Hii dunia ina vituko sijawahi kuona nashangaa watu wanaowahi kuangalia comedy this is so funny...amesahau kusema awe mjamzito kama kawaida yake
 
Umeshakaribishwa na Bht kule Kambiya fisi, sasa wewe wasiwasi wako nini au bado unataka zaidi ya huyo Bht ?? Acha uchu wa fisi, ila kumbuka kubeba zana, maana kwa baridi ya Arusha lazima mtafika mahala mtaingia Sheikh Amri Abeid Stadium kwenye mechi halafu......... shauri yako.
 
Naelekea AR kwa rikizo ya one week, ningependa nifikie kwa msichana yeyote aliyoko single wa JF. safari yangu itakuwa poa sana nitaishi naye kwake huku tukijadiri mambo mengi na ni mara ya kwanza mimi kufika Ar. Tutaanzisha thread pamoja kwa furaha.
sipendi nifikie kwa mwenye famiria au mume sababu ziko wazi wamaume tuna wivu sana. Nasubili majibu yenu vimwana wa AR.
1.Sina shaka utaibiwa
2.Arusha maisha yapo juu sana kuliko Dar,kufikia kwa msichana ni ndoto,labda ugeuze sera kuwa natafuta mchumba Arusha.
3.Pale wapo wa meru,wamasai,wamburu,wairaq,.............angalia waweza kumtelekeza mwenyeji wako.

USHAURI;
Sema hivi; Mimi nasafiri kwenda Arusha,mfukoni nipo fresh,nategemea kufikia hoteli ya kitalii ya...............simu yangu ni............sijawahi kufika arusha,sina mchumba wala mke..
Duuuuuuuuuuuh hapo mzee mwenzangu utawakimbia si wana JF au.....
 
Hapo kwenye blue sijaelewa bwana Tall.....unaweza nielewesha kidogo
 
Mshkaji baridi na kufikia kwa msichana single kutakuwa na usalama kweli? Angalia usije ukatuletea watoto wa street ndani ya JF.
 
Ha ha ha!!! Kweli thread nyingine ni jokes, anyway inabidi wakati mwingine tupuumzishe vichwa!! AR mabinti huwawezi, kwanza namba zoa za simu si chini ya 50, kila hawara au mwanaume ana namba yake ya simu ili kuondokana na migongano wakati ukiwa naye!!! Ni wasanii kuliko wasanii unaowafahamu!!!! Jiandae!!! Je wewe ni Faru au Fataki?? Badili ID yako iendane na wewe ila sasa ukitumia ID mbovu utawajibika kuobadili!!!!
 
1.Sina shaka utaibiwa
2.Arusha maisha yapo juu sana kuliko Dar,kufikia kwa msichana ni ndoto,labda ugeuze sera kuwa natafuta mchumba Arusha.
3.Pale wapo wa meru,wamasai,wamburu,wairaq,.............angalia waweza kumtelekeza mwenyeji wako.

USHAURI;
Sema hivi; Mimi nasafiri kwenda Arusha,mfukoni nipo fresh,nategemea kufikia hoteli ya kitalii ya...............simu yangu ni............sijawahi kufika arusha,sina mchumba wala mke..
Duuuuuuuuuuuh hapo mzee mwenzangu utawakimbia si wana JF au.....

Tall wewe ni rafiki mzuli unafaa kutoa ushauri na unajua kusoma mawazo ya watu.
 
bwana nyivo....karibu sana arachuga....mimi ninaishi ngalelo....be my guest...ila....aga kabisa huko kwenu kuwa unaweza ukarudi au usirudi....zingatia......usiseme sikukuonya

Heeeeeeeee shem na nyie mnaloweka nguo huko?
Duh afadhari ya Chuda maana hata ubani unaweza puliziwa unapo enda kukoga unabebwa mgongoni.
 
ha ha ha......na hali ya hewa ilivyo nguo zikilowekwa mpaka zikauke utajiju
 
hapo kwenye blue sijaelewa bwana tall.....unaweza nielewesha kidogo
hayo yote ni makabila ya waishio arusha.wanaweza kabisa kumvutia...................au mkuu hayo ni makabila yako nini? Uwe na amani
 
Mshkaji baridi na kufikia kwa msichana single kutakuwa na usalama kweli? Angalia usije ukatuletea watoto wa street ndani ya JF.
Great thinker hawezi kutuletea mtoto wa mitaani labda kama unazungumzia great sinker kwa kuwa vinafana kidogo katika matamshi na hasa ukitokea kiswahili!!
 
Naelekea AR kwa rikizo ya one week, ningependa nifikie kwa msichana yeyote aliyoko single wa JF. safari yangu itakuwa poa sana nitaishi naye kwake huku tukijadiri mambo mengi na ni mara ya kwanza mimi kufika Ar. Tutaanzisha thread pamoja kwa furaha.
sipendi nifikie kwa mwenye famiria au mume sababu ziko wazi wamaume tuna wivu sana. Nasubili majibu yenu vimwana wa AR.

nitumie vocha baba atleast 1k,na ticket ya mwewe nitakusafiria toka dar we ukitokea Bariadi mashariki kesho mi jsi natoka dar, then twameet a town! ila uje umekamilika kama hela ya ngombe 20hivi! raha utazipata!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom