missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,008
- 7,338
Hii movie siichokagi..tena ngoja leo niirudieukisikia umelogwa halafu aliyekuroga kafa ndio hii drag me to hell sasa. Hakuna mganga aliyeweza kumponya Ile curse ya yule Bibi hadi dada wa watu alikufa.