Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

naaashanga sana wanasema hiyo movie inatisha. kwa mara ya kwanza naicheki ilikua saba kasoro usiku nipo peke yangu getto na bado nikaona wanazingua
 
Kuna moja inaitwa shumileta, ebana daah, naogopa kuelezea apa lisije likanitokea dude lile
Kweli tuliwaogopa enzi zile Shumileta, Nsyuka sijui Saladin hahah.
Nyumba ilikuwa na choo Cha nje Basi ukitoka kwenda kukojoa huingii chooni maana unahisi Kama Nsyuka atakuvaa humo ndani.
Unakojoa nje na ile ukimaliza tu ndukiii kurudi ndani 😂😂
Walitutisha Sana mbwa hawa
 
Back
Top Bottom