Kuna mitihani duniani, lakini huu umezidi

Kuna mitihani duniani, lakini huu umezidi

Bujibuji mkuu malizia basi, ulitokaje baada ya kulala na maiti ya bibi mkwe ukiwa mtupu kama ulivyozaliwa chini ya kitanda?
umeona tongozo la kaka yako?
Vilema wasio hata na mguu mmoja wana watoto, wee naanzaje kukuhurumia? Yaani nikikukamata ni kuonyesha skillz za hali ya juu, super mix, ya zile skills za stone age, this age na za miaka hamsini ijayo.
Yaani lazima udate, jina langu utaliandika hadi kwenye dodoki lako la kujisugulia ili wakati ukioga u feel my presence
 
Hapo ukitoka uchi kwa spidi ya rocket atakughasi nani bhanaa, kwanza kila mtu atatawanyikia njia yake kusave roho yake. Watajua roho ya marehemu ndio inaondoka.
 
Mfano ;- wewe umempenda mwanamke ,, ukamtongoza akakubali ,, akakuambia uje nyumbani ,, ukafika kwao ukamuuliza ,, unakaa na nani '? akakujibu :- naishi na bibi ila hayupo hapa yupo hospitali kalazwa ,, mkalala kitandani ,,usiku wa manane mara mkasikia hodi ,, Binti akakuambia jifiche uvunguni ' ukajificha" akafungua mlango ,, akakuta watu wameleta maiti ya bibi yake ,, wakaja kuiweka kitandani ,, huku wewe ukiwa umejificha chini ya uvungu wa kile kitanda mpk asbh ,, ukicheki watu kibao wamejaa sebuleni mpaka nje ,, je ! utafanyaje na nguo kalalia marehemu ?
Lazima ujue kazi ya moyo hapo kama ni kusukuma damu au kupenda.
Duu huo sio mtihani tuu ni zaidi yaa!!!hata sijui nielezeje!!
 
Mmmm ......
Apo ndipo utapokumbuka kama faru john kaacha watoto wangapi
 
Mfano ;- wewe umempenda mwanamke ,, ukamtongoza akakubali ,, akakuambia uje nyumbani ,, ukafika kwao ukamuuliza ,, unakaa na nani '? akakujibu :- naishi na bibi ila hayupo hapa yupo hospitali kalazwa ,, mkalala kitandani ,,usiku wa manane mara mkasikia hodi ,, Binti akakuambia jifiche uvunguni ' ukajificha" akafungua mlango ,, akakuta watu wameleta maiti ya bibi yake ,, wakaja kuiweka kitandani ,, huku wewe ukiwa umejificha chini ya uvungu wa kile kitanda mpk asbh ,, ukicheki watu kibao wamejaa sebuleni mpaka nje ,, je ! utafanyaje na nguo kalalia marehemu ?
Lazima ujue kazi ya moyo hapo kama ni kusukuma damu au kupenda.
HIYO SASA NI HATARI SANA....
 
Brother hyo umecheza ,kama mm naect kichaa ntafumua mbio nikienda kuanguka nife hapohapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom