Kuna mitihani duniani, lakini huu umezidi

Mfano ;- wewe umempenda mwanamke ,, ukamtongoza akakubali ,, akakuambia uje nyumbani ,, ukafika kwao ukamuuliza ,, unakaa na nani '? akakujibu :- naishi na bibi ila hayupo hapa yupo hospitali kalazwa ,, mkalala kitandani ,,usiku wa manane mara mkasikia hodi ,, Binti akakuambia jifiche uvunguni ' ukajificha" akafungua mlango ,, akakuta watu wameleta maiti ya bibi yake ,, wakaja kuiweka kitandani ,, huku wewe ukiwa umejificha chini ya uvungu wa kile kitanda mpk asbh ,, ukicheki watu kibao wamejaa sebuleni mpaka nje ,, je ! utafanyaje na nguo kalalia marehemu ?
Lazima ujue kazi ya moyo hapo kama ni kusukuma damu au kupenda.
Haiwez kutokea
 
Sasa mwanaume gani yupo radhi kulala kwenye kitanda cha mama/bibi wa mwanamke ? Vitu vingine ni mambo ya kusadikika

Eti mtihani mgumu ,
 
Hii inakufundisha kua mwanamme sio sawa kwenda kulala nyumba ya mwanamke hata akikwambia nakaa peke yangu
Never kulala huko mpaka ujiridhishe sasa kuambiwa bibi yuko hospital kidume umeona Offer si ndio hii..lol
 
Mfano ;- wewe umempenda mwanamke ,, ukamtongoza akakubali ,, akakuambia uje nyumbani ,, ukafika kwao ukamuuliza ,, unakaa na nani '? akakujibu :- naishi na bibi ila hayupo hapa yupo hospitali kalazwa ,, mkalala kitandani ,,usiku wa manane mara mkasikia hodi ,, Binti akakuambia jifiche uvunguni ' ukajificha" akafungua mlango ,, akakuta watu wameleta maiti ya bibi yake ,, wakaja kuiweka kitandani ,, huku wewe ukiwa umejificha chini ya uvungu wa kile kitanda mpk asbh ,, ukicheki watu kibao wamejaa sebuleni mpaka nje ,, je ! utafanyaje na nguo kalalia marehemu ?
Lazima ujue kazi ya moyo hapo kama ni kusukuma damu au kupenda.
Mmamaa mia
 
Kwanza unakuwa mliaji mkuu, pili unatoa mwashilio kama wa kichaa ukichanganya na kilio kitakacho wafanya washangae huku ukiwa umechukua nguo alizolalia marehemu. Kisha unatoweka kwa manjonjo, hapo utakuwa umewaachia gumzo la
 
Mfano ;- wewe umempenda mwanamke ,, ukamtongoza akakubali ,, akakuambia uje nyumbani ,, ukafika kwao ukamuuliza ,, unakaa na nani '? akakujibu :- naishi na bibi ila hayupo hapa yupo hospitali kalazwa ,, mkalala kitandani ,,usiku wa manane mara mkasikia hodi ,, Binti akakuambia jifiche uvunguni ' ukajificha" akafungua mlango ,, akakuta watu wameleta maiti ya bibi yake ,, wakaja kuiweka kitandani ,, huku wewe ukiwa umejificha chini ya uvungu wa kile kitanda mpk asbh ,, ukicheki watu kibao wamejaa sebuleni mpaka nje ,, je ! utafanyaje na nguo kalalia marehemu ?
Lazima ujue kazi ya moyo hapo kama ni kusukuma damu au kupenda.
Nguo kalalia nani?
 
Nilikuwa nmepanga huu mtihani ntatumia calculator Lakin ulvyomgumu isee calculator nimeitupa pembeni mm na usingizi mpka ahsubuhi huu ni mtihani isee
 
nimejiuliza umewaza nini? you made my day.
 
Ni kujitoa tu fahamu na kujiunga na waombolezaji hivyohivyo.
 
Ni shabiki na mpenzi wa Simba ndio mwenye akili za chooni za kulala kwa raha huku akikoroma ukweni.
Madame B, Madame S, miss chagga, Miss Natafuta hebu njooni mnizunguke Leo Shabba Ranks king of dem gals nipo hapa na pesa ya kutosha.
Baada ya bia inawekwa bia a party don't stop till 10.am in da morning.
Weraweraaaaaa tunaramba maye walahi.
kwa nini nimeona hii post asubuhi jana nilikuwa maeneo hayo naomba uniite tena leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom