Kuna mitihani duniani, lakini huu umezidi

Kuna mitihani duniani, lakini huu umezidi

Hakuna mwanaume asikie hodi inapigwa alafu ajifiche bila kuvaa nguo, Never...
 
No way..Hapo ni kujifanya malaika lakini ni muhimu kuvua na hiyo nguo uliyobaki nayo..utoke mtupu.
 
dah apo ndo utaelewa kwanini kuzini ni zambi.
 
Ukifanya jambo lolote pasipo kuwaza upande wa pili ndo ndo yanakutokea ya hivyo!
 
Ukitoka chini yauvungu ukiwa uchi watu watasema ulikuwa msukule wamarehem ila kasheshe kama huwa unaishi maeneo yakaribu nahapo nawatu wanakufaham duh
 
when I was young it happened, wazee wakienda shamba mi asbh naingia kujilia tunda, siku wakarudi mapema kutoka ikawa kazi, nikafyatuka nduki tu, kama noma na iwe noma!
 
hautonionea huruma?
Vilema wasio hata na mguu mmoja wana watoto, wee naanzaje kukuhurumia? Yaani nikikukamata ni kuonyesha skillz za hali ya juu, super mix, ya zile skills za stone age, this age na za miaka hamsini ijayo.
Yaani lazima udate, jina langu utaliandika hadi kwenye dodoki lako la kujisugulia ili wakati ukioga u feel my presence
 
Mungu wangu weee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom