Kuna michepuko ni takataka kabisa

Sasa wewe unakubalije kulipa hapo mkuu? Unajua nakuheshim
Kikawaida uwa namhudumia kila Siku iendayo kwa Mungu, ikitokea Niko mbali namwambia atumie pesa zake, nkirud ntamrejeshea. Na Huwa nafanya hivyo mara kwa Mara,na yeye analitambua hilo.

This time,
hii situation imenikuta kipind namuuguza wife. Na wife wangu akiumwa kdg TU akili yangu inavurugika kabisa, maana she's my everything kuanzia malezi ya familia Hadi ustawi wa uchumi wangu kiujumla.

Kinachonikera kwake sio pesa alizoomba,
Ni jins gan alivyoshindwa kuthamini Wala kujali suala la mke wangu kuumwa na taarifa nmempa.

Hata salamu Wala kuuliza anaendeleaje hamna, anadai TU pesa zake.

Huu Ni ukosefu wa utu uliopitiliza
 
Uyu wa kwangu upstairs Ni changamoto,nnachompendea Ni mtamu sn kitandani. Vingine vyote Ni sifuri
 
Hapo kuna mawili
1. Uchawi
2. K tamu ya moto


Au labda jamaa, analeta chai tu humu JF kuchangamsha jukwaa. [emoji23][emoji23]


Ila jamaa ni mtu mdhaifu sana. Mchepuko ukizingua si unaupiga chini tu. Huyu jamaa ni dhaifu mno [emoji23]
Sasa udhaifu wangu uko wapi?

Ulitaka nimtelekeze wife nikalale na Mchepuko ndo uamini Niko strong?

Ebu acha mentality za ivo mkuu
 
Wanawake wote Hawa barabarani eti nikapige puli ili nigundue Nini hasa?

Puli tuwaachie vijana wanaobalehe maana kwa Rika lao, kimaadili na kisheria hawastahili kuzitafuna mbususu[emoji4]
 
Sio dhaifu ni mpuuzi. Hakuna mwanaume kamili, Rijali, Ngangari na Hardcore atapelekeshwa na Mwanamke hivi. Sio Mchepuko tu hata mke ndani ya nyumba hawezi kumuyumbisha na kumpelekesha hivi. Sasa Mchepuko tu anampanda na kumnyea kichwani alafu anakuja kulialia huku JF. Hakuna mwanaume kamili hapa. Hapa kuna wamama wawili ndio maana wanachambana. πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…