afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,779
Picha zimeharibu mada
Hii statement imenichekesha sana!Kuna michepuko pia haiachiki, ukimuacha anakomaaaa kama ccm madarakani shwaini
Kweli mbwa kala mbwa mkuu!Kuna mademu watamu sana jamani tena wa hivyo hawavutii ukiwaangalia kwa nje ila ukionja mashine unahamia jumla!
Mfano haka kabinti nilikapata last month kanafanya kazi ofisi kuu ya mtandao maarufu wa simu mkoani Mwanza yaani mwanzo nakutana nako sijui hata nini kilinivutia sijui vile vimini wanavyovaa hapo ofisini kwao..japo kalizingua kama one week ila mwisho wa siku kaliingia line nikakatumia nauli kaje Dom kakaja Mzee nilipewa vitu ambavyo sintokaa nisahau.!
Mtoto bado mbichi kabisa halafu katamu balaa yaani nilitamani kumfanya mke wa pili na nilimpa laki 3 cash kama shukrani kwa utamu alionipa!
Nilitamani sana kumwoa awe mke wa pili lakini bahati mbaya tu akawa hapatikani kwenye simu tangu arudi Mwanza
Ikabidi nisafiri kufuatilia nikakuta taarifa kuwa huyo demu ni "Usalama wa Taifa"
na aliacha kazi na kutoroka na kubadili namba ya simu baada ya mabosi wa hapo kazini kumstukia!
Dah...mpaka leo namkumbuka sana huyu mlembo jamani.
Hata si madawa ni Perfect Match tu!Madawa hayo [emoji23][emoji23][emoji23] chezea michepuko.
Mi namsikiliza yy tuSasa kama wa aina hii unafanyaje?
Wajeda na mapolisi huwa wanateswa sana na mapenzi