Kuna 'michepuko' huwezi kuiacha, 'never'

Kuna 'michepuko' huwezi kuiacha, 'never'

Kuna michepuko haiachiki. Kila ukijaribu tu image ikija unajipeleka. Utakuta mdada ana kila idara unayoihitaji, yaani kila utakacho unapatiwa.

Yaani ile unapanga visa na mikasa balaa ya kumuacha, ukimuona tu, mipango yote ya medani za kivita za Kim Jong Un unatupa kando.

Sasa ile sauti yake "Baby, leo nikupe nini wangu? " unahisi kama upo Paradiso.

Sasa acha ajaribu kukugusa, oooh! Ramani nzima ya vita unamkabidhi. Utashangaa miaka inapita, unachepuka tuu! Ukijifanya kuvaa miguu ya usain Bolt, eti utoke nduki, akikutext tu, utarudi fasta Mbeya hata kama ushafika Msamvu Moro.

Kuna watoto wameumbwa jamani, nitatoka kweli?

Nisaidieni mwenzenu mbinu mpya !View attachment 768449View attachment 768450
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaaa umenichekesha sana jinsi ulivyohadithia
 
BAK mke si sawa na mchepuko na ndio maana kuna mchepuko na njia kuu.

Siku zote mambo yakiwa yamekaa vibaya kimbilio ni mke sio mchepuko, ukiumwa nusu ya kufa mbio kwa mke, umekamatwa una kesi mtabanana na mke yaani ukitaka kujua nguvu ya mke angalia wakati wa matatizo. Huna hela hata kumi huyooo kwa mkeo sio kwa mchepuko.

Mchepuko unajifanya kukuthamini unapokuwa well off tu
Kuna michepuko wana play role za wake
 
Hii sasa ni kuombeana upupu! Kwa nini usimuombee aache b4 kukutwa na majanga?
Kuna mijanaume haisikii mkuu unaongea nae katika hali zote kwa upole,unyenyekevu na wakati mwingine ukali,ukiwa na nguo na wakati mwingine ukiwa huna nguo na bado haelewi unamfanyaje sasa kwa mfano ee
 
Watu kama hawa wakifa uzuri tukiwafukia tuu baaaasi...kumbukumbu lao hutoweka mara moja..
".. . Asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe" akainama huku akichora chini! Mara wale makutano wakaanza kuondoka, kuanzia mdogo hadi mzee!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaaa umenichekesha sana jinsi ulivyohadithia
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji13]
 
Back
Top Bottom