DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Tubu na kuiamini injili
AsemeUnataka kusema unachepuka na hawa uliowapost
Mkuu kuna vitu vingine akili tu ya kawaida inataka uwe unavitafuna, ata ukimuuliza mkeo atakuambia hivyo hivyo.Nisaisie hiyo mbinu nijiokoe aiseeView attachment 768460
Hahhahahhaaa,pole but kuwa busy na kaz zako, muondoe akilin mwako,sometime kuwa hats busy kwa kusoma vitambu mbali mbal ,ilimradi tu usimuwaze ,yaweza kukusaidiaBi dada toa mbinu aisee! Kuna mwenzio kaniteka huku!
Nasoma vitabu 2 kwa wiki, mazoezi karibu kila siku! Dada njoo unipe ka mbinu mbadala, hata kama hapa hapafai niandikie PM...Hahhahahhaaa,pole but kuwa busy na kaz zako, muondoe akilin mwako,sometime kuwa hats busy kwa kusoma vitambu mbali mbal ,ilimradi tu usimuwaze ,yaweza kukusaidia
Nawasikiaga kwenye vyombo vya habari jinsi wanavyojinyonga na kujipiga risasiKuna mjeda anayeteswa unamjua?
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Tafuna tuu kama meno bado ipo.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ndo mnatamanigi kuwaambia wake zenu kuwa nna mchepuko mkali balaa eee
Ukiamua unaweza kutoka mkuu maana hawa wanakufanyia hivo c kwamba wanamahaba ni wavunaji tu ila mapenzi sahihi ni kwa mkeo ukijua hila zao hutawadindishia hata mara 1Nisaisie hiyo mbinu nijiokoe aiseeView attachment 768460
Mkishanogewaga huko nje hamnaga maana nyie kabisaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mambo ya vijana hayo, umri ukishasogea majukumu yakiandama tunabaki njia kuuMkishanogewaga huko nje hamnaga maana nyie kabisaa
Na mkishatingwa ndo mnarudigi njia kuu hapo maana huko njea vizinga mnakimbiaMambo ya vijana hayo, umri ukishasogea majukumu yakiandama tunabaki njia kuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mke atabaki kuwa mke tuNa mkishatingwa ndo mnarudigi njia kuu hapo maana huko njea vizinga mnakimbia