Hatari kabisaa wanavuna balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kufaaa!
Wanapambana na hali zao!!!
Ila wanawapunaaaaaa!!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Maneno ya mtaani hayoPunyeto never never! Inaua engine
Eehh bhana,akikutana na visivyojulikana akili itamkaa sawa mbona,.vitu vingine unamuacha mtu ahangaikeeee kuna siku tuu mwenyewe atarudi zizini ama la atakufa katika hayo.Hahaha unamwangalia tu unangoja Siku yake yatakapomkuta akaamua yeye mwenyew aache
Shauri zenu wenyewe!ndo maana nawaogopaga miye waume za watu!Ni noumerrrrrrrr
hahahaaaaaa
BAK mke si sawa na mchepuko na ndio maana kuna mchepuko na njia kuu.
Siku zote mambo yakiwa yamekaa vibaya kimbilio ni mke sio mchepuko, ukiumwa nusu ya kufa mbio kwa mke, umekamatwa una kesi mtabanana na mke yaani ukitaka kujua nguvu ya mke angalia wakati wa matatizo. Huna hela hata kumi huyooo kwa mkeo sio kwa mchepuko.
Mchepuko unajifanya kukuthamini unapokuwa well off tu
Ndo maana mtamu usalama huyoo!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mademu watamu sana jamani tena wa hivyo hawavutii ukiwaangalia kwa nje ila ukionja mashine unahamia jumla!
Mfano haka kabinti nilikapata last month kanafanya kazi ofisi kuu ya mtandao maarufu wa simu mkoani Mwanza yaani mwanzo nakutana nako sijui hata nini kilinivutia sijui vile vimini wanavyovaa hapo ofisini kwao..japo kalizingua kama one week ila mwisho wa siku kaliingia line nikakatumia nauli kaje Dom kakaja Mzee nilipewa vitu ambavyo sintokaa nisahau.!
Mtoto bado mbichi kabisa halafu katamu balaa yaani nilitamani kumfanya mke wa pili na nilimpa laki 3 cash kama shukrani kwa utamu alionipa!
Nilitamani sana kumwoa awe mke wa pili lakini bahati mbaya tu akawa hapatikani kwenye simu tangu arudi Mwanza
Ikabidi nisafiri kufuatilia nikakuta taarifa kuwa huyo demu ni "Usalama wa Taifa"
na aliacha kazi na kutoroka na kubadili namba ya simu baada ya mabosi wa hapo kazini kumstukia!
Dah...mpaka leo namkumbuka sana huyu mlembo jamani.
Don't forget rule number one,..But internal thing can also be triggered by external ones! So, still the stone can turn into water!
Cheka tu ndo hivyo usiombe yakukuteYani nimecheka kama falaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha unamuombea asife kwanza akutane na karma imuonyeshe how the world is pumbavuuEehh bhana,akikutana na visivyojulikana akili itamkaa sawa mbona,.vitu vingine unamuacha mtu ahangaikeeee kuna siku tuu mwenyewe atarudi zizini ama la atakufa katika hayo.
Nimekusoma Legendari!Ni kweli lakini Mkuu mara nyingi imeshatokea mke kupigwa kibuti na mchepuko kupewa promotion na hii si Tanzania tu bali duniani kote. Kuna kesi moja ilitokea New York hawa walikuwa wanakosa utamu kwenye ndoa zao. Wote walikuwa kwenye ndoa na wana watoto. Walichokuwa wanakitafuta nje ya ndoa ni papuchi na dushe kila wanapokuwa na hamu zao nadhani kwa kukosa hayo ndani ya ndoa. Basi wakaanza kupeana utamu hakuna cha zaidi. Kila wakikutana ni kuvuana picchu tu. Wote wakaanza kujenga feelings za kimapenzi wakifurahia sana kuwa pamoja (Wenyewe huita chemistry ya wapendanao) Wakaanza kwenda luches, dinners na movies pia. Wakaanza kutamkiana I LOVE YOU na kila walipoendelea ndiyo feelings to each other zikazidi na hivyo kuamua kukaa chini na kuongea kwa kituko wafanye nini kama wanapendana kiasi kile wote wana watoto na wamo kwenye ndoa. Ndipo wakaamua wote waachane na ndoa zao ili waoane na hilo wakalitimiza.
Ninachotaka kusema Mkuu Mke ni zaidi ya mchepuko lakini wakati mwingine mchepuko hupewa promotion kwa mke kukubali kuwa na mke mwenza au yeye kupigwa kibuti na mwenzie kupanda daraja. Inatokea pia Tanzania hii Mkuu.
Ukweli mchungu...akikujibu unitag.Mkishanogewaga huko nje hamnaga maana nyie kabisaa
Tano kwa miaNi kweli lakini Mkuu mara nyingi imeshatokea mke kupigwa kibuti na mchepuko kupewa promotion na hii si Tanzania tu bali duniani kote. Kuna kesi moja ilitokea New York hawa walikuwa wanakosa utamu kwenye ndoa zao. Wote walikuwa kwenye ndoa na wana watoto. Walichokuwa wanakitafuta nje ya ndoa ni papuchi na dushe kila wanapokuwa na hamu zao nadhani kwa kukosa hayo ndani ya ndoa. Basi wakaanza kupeana utamu hakuna cha zaidi. Kila wakikutana ni kuvuana picchu tu. Wote wakaanza kujenga feelings za kimapenzi wakifurahia sana kuwa pamoja (Wenyewe huita chemistry ya wapendanao) Wakaanza kwenda luches, dinners na movies pia. Wakaanza kutamkiana I LOVE YOU na kila walipoendelea ndiyo feelings to each other zikazidi na hivyo kuamua kukaa chini na kuongea kwa kituko wafanye nini kama wanapendana kiasi kile wote wana watoto na wamo kwenye ndoa. Ndipo wakaamua wote waachane na ndoa zao ili waoane na hilo wakalitimiza.
Ninachotaka kusema Mkuu Mke ni zaidi ya mchepuko lakini wakati mwingine mchepuko hupewa promotion kwa mke kukubali kuwa na mke mwenza au yeye kupigwa kibuti na mwenzie kupanda daraja. Inatokea pia Tanzania hii Mkuu.
Ukweli mchungu...utapata likes chache.Na mkishatingwa ndo mnarudigi njia kuu hapo maana huko njea vizinga mnakimbia
There you're.Mke atabaki kuwa mke tu