Kuna mdogo wangu amekuja kuniuliza kuhusu kujaza kwenye 'Ajira recruirment portal'

Kiswaswadu

Member
Apr 24, 2019
24
58
Kuna mdogo wangu amekuja kuniuliza kuhusu kujaza kwenye 'Ajira recruirment portal' kila akiupload picha na vyeti kwenye account yake anaambiwa imezidi kb hizo file zipo kwenye mfumo wa pdf,hajajua afanyeje kila akijaribu anafeli.

Kama wadau mliojaza hizo portal ajira afanyaje kuweza kupata hizo kb sahihi zinazohitaji kweny ujazaji?Mawazo yenu ntamtumia uzi usome mwenyewe.
 
Atumie Camscanner PDF zake zinakuwa ndogo tu Au aingie website ya smallpdf converter ile ya kwanza kufungua aingie hapo na atakutanana option kibao achague itakayomsaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom