kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,707
- 25,479
Nawasalimu katika jina la Bwana Yesu Christo.
Kuna maamuzi nataka kuyafanya, ila kabla ya kutoa uamuzi wa mwisho nikaona si mbaya nikiomba ushauri kwa wataalamu wa mambo ya mahusiano humu jf.
Issue nzima iko hivi: Kuna mwanamke ana miaka 43. Tulikutana katika mazingira fulani, yeye ndiye alianza kuonyesha interest na mimi.
Baada ya muda tukajikuta tumeanza kuwa karibu kimahusiano. Kiukweli ana mvuto mkubwa sana. Ana mtoto mmoja wa miaka 10 na baba wa mtoto yuko Marekani.
Sasa naona huyu mtu anakuja kwa kasi sana, na mimi suala la tofauti ya umri naona kama halijakaa vizuri kitaalamu sana.
Wakuu mnanishaurije, niweke kambi hapa au niamshe majeshi?