Kuna mapenzi kweli hapa

Je wewe ni bikra? Isijekuwa wengine wanakula mzigo na huyo mtangaza nia ya kuchukua jimbo unambania. Endelea na msimamo wako lkn hata siku moja mpe jamaa atest thamani ya engine.
 
Hujiamin ktk kujibu, inaonekana wewe sio bikra, sasa hivi kweli umeshaliwa huko kote alafu leo hii uje umuambie mwanaume mpaka ndoa, nani anataka huo ujinga? Utasubiri sana, watakukimbia kila siku
Bikira sio reason ya kukataa sex, hata nisingekuwa stl kama makubaliano yalikuwa kutokufanya sex until marriage ningeyasimamia. Wakimbie tu.
 
Human beings are designed for many things but loneliness is not one of them....
 
Sasa ikiwa x-wako ulimuacha kwa sababu hio kwanini na huyu usimuache? Huyu sasa amemzidi x-wako kwa kuomba sex mpaka mtoto. Tena anajiona yeye bora kuliko baba na ndugu zako, ama huyo ukimpa papuchi atageuka chura.
 
hapo hamna kitu mdada kimbia fasta, omba Mungu utampata wa kwako, mimi na wife 2be tumeendelea kusubiri mpaka ndoa na tunaendelea, japo mikwaruzo ipo midogomidogo ipo, ila hilo tumelishinda
 
Are you a virgin...!!! Stand on wat your instincts lets you be... at last utampata umtakaye
 
Hongera mdada tunataka wanawake kama wewe.Hata kama una bikra lazima ujiheshimu.....kupata mimba nje ya ndoa ni dhambi kwa Allah.....
 
T
Tapeli wa mapenzi huyo...ukikubali kumpa kisambusa chako tu basi haja yake itakua imekwisha. Tena kwa usalama wako kaa mbali nae. Hongera binti kwa msimamo, u r a kind of a girl we want to hear about....Stay focused!
 
kama unayo basi una haki ya kuwa na msimamo ulionao,hongera sana

Huyu hana bikira sema anataka kumuuzia jamaa mbuzi kwa gunia. Hiyo kitu haipo kwa sasa. Watu wanasonga mbele yeye anaturudisha nyuma 60's. Tena anaonekana mzoefu tuu kwenye mambi yetu yale.

Yani wengine watumie weeeee halafu me nisubirie hadi ndoa. Uwiiiiiiiiii
 


subiri ukishafikisha miaka arobaini ndo uanze tena kuzunguka makanisa ya kilokole unaombewa ili upate mchumba..na ukutane na mchungaji mwenye kiu ya uchi lazima chupi utavua na mimba utapata na hapo utajagundua ya kua ulilokua unakwepa limekupata,,,ndio maaana hamuolewagi
 
Simamia msimamo wako ....hawa wanaokushauri ugongwe wamejeruhiwa na mapenzi....wewe timiza amri ya Mungu.
 
hapo hamna kitu mdada kimbia fasta, omba Mungu utampata wa kwako, mimi na wife 2be tumeendelea kusubiri mpaka ndoa na tunaendelea, japo mikwaruzo ipo midogomidogo ipo, ila hilo tumelishinda
Mh! ya kweli haya mkuu!? kuna jamaa yangu alibaniwaga na demu mpaka ndoa, jamaa alikubali wakakaa kama mwaka hivi bila kuonjana ile kuja kumuoa demu ana mimba tayari.
 
sisi ni kweli kabisa,namuamini sana, juzi kaja kunitembelea nikamuachia gheto,
note:tumeokoka
 
Nimeupenda msimamo wako.Jiangalie usianguke maana ukimkwepa huyu wa sasa shetani atakuletea mitihani mingine mikubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…