TOHATO
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,170
- 3,775
Naamini sio mimi tuu ila tuko wengi juu ha hili.
Akili mwangu nimeshindwa kuweka nadharia ya sherehe nyingi kwa kuwa nazo ki muhemko kama navyoona kwa wengine.
Sherehe kama ya kuzaliwa au hii ya mwaka mpya naona kawaida sana.
Sina maana kuwa sina siku za fraha kwangu ,hapana, ila ziko siku zangu nazo ona zina usheree au muda waku ya frahiya maisha tofauti na hizi nyingi zilizopangwa.. Naeza kusema siku hizo huwa zinakuja zenyewe tuu bila kupangwa.
Na kinachonifrahisha sikwaziki na wanaofrahiya hizi ambazo zimepangwa .
Yaan mambo ya sijui Kukesha,sijui kujipangia mipango ya mwaka mpya,sijui ya kuombea mwaka. Daah naona cha jana ndo cha leo na kesho, na ni mabadiliko ya namba ambazo ni nadharia ya Muda.
Siwezi panga ya kuanza mwaka Mpya huku kuna zuri nloanzisha jana ambayo itakuwa ni mwaka jana kwa kesho yake.