Kuna mamao yanachekesha jamani daaah

Kuna mamao yanachekesha jamani daaah

Kinachowaponza wanawake ni viburi. Midomo na ulevi. Mimi mwanamke mlevi na mvaa hovyo tena akiwa na wowo nitamtumia tu. Unakuta mwanamke anaongea lisauti la juu km anatangaza mkutano wa kitongoji mbaya zaidi kitandani hakuna kitu. Ukimgusa tu mara nimechoka.mara ngoja kesho au akikubali anaanza kukumbushia mizozo ya siku za nyuma n.k. Nina kila sabab yakukutumia then nikaoe mtoto mwenye mahaba.nidhamu na aibu au staha.
Mashangazi hamtokaa mpungue sababu wanawake kila siku mnaachikà
 
Let em be

Ukitazama historia ya threads zako hapa JF, nigga una shida upstairs kuhusu wanawake, jaribu kupata washauri wa saikolojia

Mkuu ni bahati mbaya hunijui humu mimi nina hulka ya kusema ukweli mchungu na ndo maana hata thread zangu hua zinafutwa. The society has been pilled kushabikia ujinga ikitokea ukawa msema kweli utapigwa vita ila fresh maana nafanya jambo sahihi kusemea jamii inapopotoka.
 
Nimekua napenda kufuatilia wanawake wanaotafuta "mume" humu jf na mitandao mingine sio ili "kujipatia" goma la hasha mimi nishaoa ila hua napenda kuenjoy mawazo yao.

Utamsikia "natafuta mume mimi nimesoma nina kazi yangu, mimi sio tegemezi nina maisha yangu bla bla bla" yani hua nacheka sana yani hawa viumbe jinsi wao wanavyopenda wanaume wenye fedha wanadhani na sisi wanaume tunapenda mwanamke mwenye hela. Miss the point by miles.

1. Una hela ila kiburi na jeuri na ngangari full kujimwambafai nani atakupenda ?!

2. Yani una hela ila una miaka 35 mwanaume gani atapenda kukuoa ?!

3. Ok una hela ila umezalishwa na wanaume 4 tofauti, nani atapenda kukuoa ?!

4. Una hela tena nyingi lakini una lugha chafu, nani akuoe ?!

5. Una hela ila ushatafunwa na wanaume kama 200 nani atatamani kukuoa ?!

Afu utakuta wameweka mavigezo mengi mwanaume naemtaka awe hivi, awe hivi, awe hivi wakati wao sijui hata hawajioni soko lao liko chini sana na ndo maana mpaka wanajianika katafuta mume hua nacheka sana.
Naomba unambie nini maana ya neno 'goma'??
 
Mkuu ni bahati mbaya hunijui humu mimi nina hulka ya kusema ukweli mchungu na ndo maana hata thread zangu hua zinafutwa. The society has been pilled kushabikia ujinga ikitokea ukawa msema kweli utapigwa vita ila fresh maana nafanya jambo sahihi kusemea jamii inapopotoka.

Yes, inawezekana sikujui lakini tambua fikra zako zinaishi katika haya unayoyaandika hapa.

Kuna utofauti mkubwa kati ya kusema ukweli na namna ya kuusema huo ukweli.

Unapousema ukweli kwa namna ya majigambo na ukandamizaji, ile nia nzima iliyojificha katika ukweli inageuka na kuwa kitu fulani kama dharau hivi n.k.

Sasa mada zako zote hapa zipo hivyo, unatamka ukweli katika hali ya masimango pale unapokuwa ukiwakilisha mawazo yako juu ya dada na mama zetu...

Hivyo jaribu kuwakilisha mawazo yako katika namna ambayo hao unaowalenga wavutike kusoma, wajione wakosaji na mwisho wabadilike kufuata njia zao njema...
 
Kuna mmoja tulikuwa kwenye penzi moto moto siku za nyuma, kiburi cha mafanikio yake kikapamba moto akaanza nyodo nikaachana naye kiroho safi tu.

Miaka 2 tu imepita nashangaa kuona namba ngeni, kuuliza akajitambulisha fresh tu.
Alienda directly kwenye point, NAHITAJI UNIOE, NIMEUCHOKA UPWEKE; NAZEEKEA NYUMBANI!

Kwakuwa sipendi dharau zaidi nikamwambia nina mchumba na mwakani nina mpango wa kuoa. Saizi yuko busy kuuliza marafiki zangu.

Usiniulize umri wake please!
Sad..
Aliji mwambafy juu ya mwamba.
 
Yes, inawezekana sikujui lakini tambua fikra zako zinaishi katika haya unayoyaandika hapa.

Kuna utofauti mkubwa kati ya kusema ukweli na namna ya kuusema huo ukweli.

Unapousema ukweli kwa namna ya majigambo na ukandamizaji, ile nia nzima iliyojificha katika ukweli inageuka na kuwa kitu fulani kama dharau hivi n.k.

Sasa mada zako zote hapa zipo hivyo, unatamka ukweli katika hali ya masimango pale unapokuwa ukiwakilisha mawazo yako juu ya dada na mama zetu...

Hivyo jaribu kuwakilisha mawazo yako katika namna ambayo hao unaowalenga wavutike kusoma, wajione wakosaji na mwisho wabadilike kufuata njia zao njema...
Well said
 
Back
Top Bottom