Kuna mamao yanachekesha jamani daaah

Kuna mamao yanachekesha jamani daaah

Let em be

Ukitazama historia ya threads zako hapa JF, nigga una shida upstairs kuhusu wanawake, jaribu kupata washauri wa saikolojia
teheee hee mimi ndo mshauri wao "nigga"

Ukweli ni kwamba naapriciate wanawake wenye maadili ila nina allegy na hawa "modern ill behaved carrier women" deep down my bones. Nadhani mimi ni sort of extrimist kama walivyo wale wavaa suruali fupi na mimi kwa women empowerment naichukia hasa maana inaharibu jamii.
 
Dah...imeandikwa....Mara zote ukipambana na asili unaishia kupata maumivu.... Wangoni 3:9
 
Ongeza sauti mkuu. Ndoa mpaka uwatagg wanaume mambo ya hovyo haya katika zama hizi.
 
Sasa, hayo usemayo kweli yapo, lakini, kwanini wewe uumie kiasi hicho? Mbona bado wanawake wengi tu wasio na tabia hizo? Iankuwaje wewe unakutana na hao tu? Mimi ninajua wapo lakini mbona sihangaiki nao?

Aidha, dunia ya ajabu hii kuna watu ndiyo wanawatafuta hao na wapo wanaume ambao wanawashughulikia hao balaa. Wanawafanya kishenzi, mradi uwe unajua tu upepo wa kisulisuli unatokea wapi.

Acha kujipa msongo wa mawazo wakati wanawake wamejaa kibao.
 
Utamjuaje kama amelala na wanaume 200?
 
Back
Top Bottom