Hamna nilikuwa nakuuliza tu eti mapera wala?Tupo, hakuna changamoto ni raha tu kuwa kauzu....
Ulikua unasemaje kwani?
Makauzu hatuli mapera tunakula makomamangaHamna nilikuwa nakuuliza tu eti mapera wala?
Kauzu zaidi ya dagaa, sura ya mbuzi. [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni kauzu??
Kwani ukauzu unachagua jinsia?Wewe ni kauzu kweli? Au wewe ni dume nini?
Bora hata umemkumbusha dea. ThanksWe jamaa acha kuwa msahaulifu aseee
Kwani umeandika kwamba uzi ni wa wanaume tu?
We jamaa acha kuwa msahaulifu aseee
Kwani umeandika kwamba uzi ni wa wanaume tu?
OkayIla wewe ni kauzu kweli
Naomba niwe mwalimu wako.Hili somo ndio nipo tuition sasa hivi nimejiandikisha karibuni, sitatega darasa hata siku moja, nitamuuliza mwalimu maswali yote yanayonitatiza ilimradi nipate uelewa wa kutosha na niweze kuitumia vizuri hii elimu.
Nafikiri madhara ya kuwa "kauzu" ni machache sana kulinganisha na faida zake.
Naomba niwe mwalimu wako.
Lack of sense of humour ni nini?Tusichanganye lack of sense of humor, intro na ukauzu.
Ukauzu ni lifestyle fulani iliyopandishwa umaarufu na uwepo wa makundi kama Walume ndago, TMK Wanaume, TMK majita na East Coast Team. Kwa kuwaona East Coast wakishua TMK Wanaume wakajiundia personality ya ukauzu ambayo ni haijali kama haijaoga wiki nzima, haijali kama mavazi ni machafu na kua tayari kwa ugomvi.
Mtu alikua anajitamba yeye ni kauzu zaidi ya dagaa akimaanisha haoni aibu wala hahofii macho ya watu kwa atakachotaka kukufanyia au kwa jinsi alivyo.
Watu hawa walikua na kausemi ka "Mi gangstar" ukimuuliza mbona shati chafu jibu lake "Mi gangstar nimhofie nani? Mwenzako mi kauzu"
Anyway, haya makundi kufifia kulienda sambamba na hilo neno kauzu na personality yake. Nina uhakika hamna ambaye hili neno limekatiza akilini mwake mpaka alivyoliona hapa na hata ulivyolisoma cha kwanza kukumbusha ni dagaa na siyo personality.
Basi na Mimi sikuheshimuJirani yangu wakwanza Nilimwambia kuanzia leo nimeamua sikuheshimu tu na simuheshimu kweli ( mama mtu mzima)
Jirani yangu wa pili huwa simsalimii nampita tu.Akaniuliza shida nini baba ? Nikamjibu huwa nakuona Kama jiwe tu.
Waliobaki wamenipa hiyo sifa ya ukauzu na maisha yanaendelea.
Nipe overzako niweke mbupu 1Okay
NakutagNipe overzako niweke mbupu 1