Kuna makaka mahandsomeeee

jamani hii thread mbona imenifanya nikose raha, maana mie mbaya kweli, hivi ntapata mke kweli na kama nikimpata si hao mahandsomeee wataniibia?

wewe tafuta ela,tuachie sis sekta ya UHB.
 
Wewe na handsome ni sawa na mbwa mbele chatu eeenheee
 
mleta mada hajafafanua usuri wa mtu uko machoni pamtazamaji!

hata hivo mwanaume hasifiwi sura!

niliwahi kusikia dada mmoja anasema kuwa yeye hapendi wanaume wenye sura nzuri kama mademu!
 
Kama huyu:


Sorry, sijaona uhandsome wake, bora ungemuweka Elvis Presley, Toniks wa Uganda, Matokeo Chuma au Abba Seduu, but kila mtu ana mtizamo wake wa mwanaume handsome, I respect that, but wengine ni noma kila demu akimwona hata wanaume wenzao wanashtuka, unamkumbuka James Dandu.
 
Kama huyu:


Mi hanishtui hasa, ni wa kawaida tu, labda pesa zake ndio zinishtue, Mi, machalii wa Arusha ndio wanaonishtua hasa, ni mahandsome, wako sex, brave na wanaongea vizuri sana na girls.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…