Kuna mahusiano baina ya radi na internet ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna mahusiano baina ya radi na internet ?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Feb 19, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wadau habarini za jioni.
  Moja ya malengo ya Forum hii ni kubadilishana uzoefu wa skills ama maarifa tofautitofauti, tuliyowezeshwa na mwenyezi kua nao.
  Muda mfupi uliopita eneo nilipo kuna Mvua kubwa inayoendana na Radi kubwakubwa inayoendelea.
  Mwenyeji wangu yeye yuko na computer yake na mambo yake, mie mgeni niko na simu yangu mkononi , na huku nimekodolea Tbc Tv nikisubiria ze-comedy.
  Wakati imebaki dkk kama 10 hivi Ze- comedy ianze, Mvua na Radi ndiyo vikachanganya maradufu !.
  Ghafla namuona mwenyeji wangu anaizima Tv, na akarudi kuendelea na miamala katika Computer yake.
  Nikamuuliza sababu ya kuzima Tv,
  akanijibu "huoni Radi ? "
  Nikamwambia mbona wewe unaendelea na vya Computer ?
  Akanijibu,
  Computer haina eriar .
  Nikamuuliza tena je ? Na simu yangu nayo vipi ina mahusiano nayo niizime ?
  Akanijibu,
  Ndiyo.
  Wadau huyu jamaa yangu nimemuona mengi ya niliyokua nikimuuliza ni kama vile anayatoa kichwani mwake. Nikaona kwa nini anipasue kichwa na Jamvi lipo ?
  Natupa kwa Jamvi for further results .
   
 2. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Hujasikia radi ilivyofanya kwa mwanafunzi wa udom aliyekuwa anaongea kwa simu huku radi zikiwa zimehanikiza anga?
   
 3. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wengine hatujasikia K.... Tujuze.. Mi naona watu hawazimi simu,ila wanazitupa pembeni hadi radi ziache...

  Na tuelezee uhusiano wa radi na kompyuta pia... Kuna wanaozizima pia...
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hili has'sa ni neno! Alafu sijui leo J'2 ma'member wengi wako m'kopombeka ?
  Mijitu ya sayansi si ni mingi tu humu ?
  Haya tufanye subira waje watuelimishe katika hili .
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Alaaa !
  Kumbee !
  Yalikua hayo ?
  Ushan'tia uoga !
  Mamaa - yangu .
   
 6. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Nadhani ingependez zaidi kama swali hili ungeliweka katika jukwaa la Science and Tech
   
 7. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni jukwaa zuri lenye mamemba walio shapu kusaidia...

  Ila niliwahi kupose thread ya aina hii haikupata majibu...
   
Loading...