Kuna mahali nimeharibu vibaya mno :( , sijui nifanyaje?

Kuna mahali nimeharibu vibaya mno :( , sijui nifanyaje?

Omba msamaha, hakikisha unaonyesha ni wapi hasa ulikosea na sio kuzunguka zunguka kisha mpe muda afikirie mwenyewe kama atakusamehe au la sio kumshinikiza kila muda "umenisamehe"
Sahihi kabisa
 
Pole mamie, I hope baba amekusamehe; na mimi niko kwenye situation kama hiyo.

Nimefanya kitu nikiwa nimekwazika, nikafikiria siyo big deal, kumbe mwenzangu imemuumiza sana kwa sababu alifikiri amenipoteza.

Najisikia hatia, nimeshakiri kosa na kumuomba msamaha, ila kasema anahitaji muda atulie kwanza.
Usijari dear, hope kila kitu kitakua sawaa
 
Umeshawahi kufanya kosa na ukajishtukia mwenyewe kwamba hapa ulizingua?
mimi naishi na sensi ya sita, so nasoma ramani.
umefanya kosa lipi haswaaa au la karibia kuhusu kutenda nini au kuongea nini?

Ulideal vipi na hiyo hisia ya kuwa mkosaji na nafsi kukusuta baada ya kujua umemuumiza mtu unayempenda?
hii ya kuumiza sijajua ni juu ya yapi haswa, ila najua kuminya na kuzidi kusoma ramani usaidia

Mwisho kabisa, ulifanya nini mpaka uliyemkosea akakusamehe na akasahau ule ubaya?
kama mimi naweza samehe na nisisahau, sitegemei mwenza atasahau. Muhimu ni kujua jinsi ya kuishi na kutokumbushia ni kuzika. nalo hili linategemea unataka ushauri haswa juu ya nini.

ungefunguka zaidi kidunchu labda ningeweza sema kihivyo.

Mwanamke lazima kujua jinsi ya kusoma nyakati...
 
Najisikia hatia, nimeshakiri kosa na kumuomba msamaha, ila kasema anahitaji muda atulie kwanza.

kwa sasa kuwa mnyenyekevu tulia usiulizie ameamuaje... onyesha umejutia sio kuwa kama haujali.. gemu ya kisaikolojia iingie hapa.. na maombi namba moja... still bado sijapata picha hivyo nimeshauri nilivyoweza.
 
Binti wa zamani chukua hii kutoka kwangu,,,,,,
1.ujuaji mwingi mwisho unaboronga
2.stelingi mara zote huwa hauwawi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom