Kuna mahali nimeharibu vibaya mno :( , sijui nifanyaje?

Kuna mahali nimeharibu vibaya mno :( , sijui nifanyaje?

1.KUBALI KUWA MKE MWENZA.
Ruthlessness Madume yote ndivyo yalivyo,hayawezi kufanya compromise ya kutwezwa udume wao, lazima yata take action kurudisha heshima yao! kama ulizingua kubali matokeo ya uzinguaji wako!
Kwahiyo kukosea kidogo tu ndiyo nitafutiwe msaidizi 🫠
2.PELEKA KITUMBUA KIKALIWE KWA STYLE YA KIBABE!

Ili kupoza machungu yake hebu mpelekee site ale Hadi ahisi hasira zimeisha!!ukubali style za kibabe sana ambazo hujawahi ziona toka kwake!!
Limeisha hilo 😅
3.MWELEZE UKWELI UNAVYOJISIKIA BAADA YA KUMKOSEA, MTAZAME USONI!
Kama unaweza Fanya hivyo anaweza ona aibu yeye na kukosa ujasiri zaidi na akakusamehe kabisa na kuona kwamba alichukua hatua Kali sana kuliko kosa lenyewe!!
Sawa, nitajaribu hii
4.MWAMBIE, MTOKE OUT
Masotojo,vinywaji na faragha huleta Hali ya kuachilia vinyongo!!
Sawa, nimelichukua hili. Anafanya kazi leo ila baadaye nitampanga tutoke.
Wanawake wengi wanaumizwa na roho ya mashindano baada ya kufikia utoshelevu fulani Toka Kwa waume zao!!
Kwangu sina hii.
Nimejaribu!
Asante, nilijua utanitolea nyongo, ila naona imekua tofauti 😂 ushauri mzuri, nimeupokea.
 
1. Niliwahi kumkosea baba yangu, kwa kitu ambacho kwangu sio kosa, ila kwake ni kosa tena kubwa mno.

2. Nilikua mnyonge na kujiona nina hatia, lakini sio juu yangu, ila ni juu ya yeye baba,

3. Sijui na sina hakika km amenisamehe kweli, au amesahau, ila nilichofanya kwanza kukiri kosa, na kuweka usawa baina yetu, pasipo kuharibu kila pande.
 
Nahisi kama uliitelezesha kwa juu hivi 🤣
Unaona akili zako sasa 😂
Si unajua mtu akianguka anateleza kwa chini ila hii anatelezea juu,may be ukajua jamaa anapenda hii 🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃
Siwezi kabisa hata kujaribu 😂 hatupendi kutelezea huko, tutanajisiwa na tope.
 
1. Niliwahi kumkosea baba yangu, kwa kitu ambacho kwangu sio kosa, ila kwake ni kosa tena kubwa mno.

2. Nilikua mnyonge na kujiona nina hatia, lakini sio juu yangu, ila ni juu ya yeye baba,

3. Sijui na sina hakika km amenisamehe kweli, au amesahau, ila nilichofanya kwanza kukiri kosa, na kuweka usawa baina yetu, pasipo kuharibu kila pande.
Pole mamie, I hope baba amekusamehe; na mimi niko kwenye situation kama hiyo.

Nimefanya kitu nikiwa nimekwazika, nikafikiria siyo big deal, kumbe mwenzangu imemuumiza sana kwa sababu alifikiri amenipoteza.

Najisikia hatia, nimeshakiri kosa na kumuomba msamaha, ila kasema anahitaji muda atulie kwanza.
 
Tayari nimemuomba msamaha, ila ameniambia tu kwamba "nimemuumiza sana" na mimi nimeona kabisa nimemkosea, so hiyo hali inaniuma na mimi.
Mnaenda vizuri
Umeomba radhi naye kapokea na kaeleza how he feels
Mpe muda
Wkt huo mtendee mema
Ie zawadi,kumpikia, kauli nzuri etc
Kibinadamu atakuwa sawa baada ya muda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom