Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,763
- 27,149
- Thread starter
- #41
😒Pole sana mrembo
Asante Mangi, hebu nitumie zile video zetu zinichangamshe kidogo.
😒Pole sana mrembo
Niondoke JF nikahamie wapi kwingine 😂😂😂Halafu kesho uudhiwe na jambo dogo tu utueleze unahama JF.Nitakushangaa sana.
Uhamie CCM.Niondoke JF nikahamie wapi kwingine 😂😂😂
Hapana, haiwezi kutokea kabisa nikaenda kwa mzee wa kububujikwa 😂Uhamie CCM.
Niambie tatizo ni nini kwanza ?😒
Asante Mangi, hebu nitumie zile video zetu zinichangamshe kidogo.
Mtumie bia wewe acha mbwembwe.Niambie tatizo ni nini kwanza ?
Bia zimejaa bwashee , aje ghetoMtumie bia wewe acha mbwembwe.
Mtego wa punje za mahindi huo arawa!Bia zimejaa bwashee , aje gheto
Acha kutudanganya kila kukicha aisee mimi sina lugha za porini hizo..
- Punguza kamdomo kijana.
- Punguza ujuaji kwenye maisha ya watu usiowajua.
Sijamnyima mbususu 😂 au hisia zako zimekupeleka wapi?Taja hiko kitu ndo tuseme tuli deal vipi maana hisia zangu zinanipeleka kwingine kabisa
Nimemkosea ini mkalia nyongo wangu, ameumia mwenyewe but he is still nice to me japo najua amemind mno.Niambie tatizo ni nini kwanza ?
Ninunue msala wa pili 😅 mnanitakia mema kweli?Bia zimejaa bwashee , aje gheto
Mbona unateseka, acha kufungua nyuzi zangu au kama vipi nitupie kwenye ignore list yako kabisa, upate amani.Acha kutudanganya kila kukicha aisee mimi sina lugha za porini hizo..
Nimemkosea mpenziUnataka kushauri au tujishauri,kila jambo linaushauri wake kumkosea mama mkwe ni tofauti na kumkosea rafiki yako
1.KUBALI KUWA MKE MWENZA.Hebu nipeni busara maana kwa sasa nimeishiwa 💔💔
Cc:
cocochanel , min -me , Manyanza , bonjov , secretarybird , Lamomy , waifu material , cocastic
Asante nduguPole kwa yaliyokusibu ndugu