Kwa nini uchague maimpossible things na kuna mapossible thingsHeri ya mwaka mpya wana JF, nmewamiss maana kitambo sana sijaja jukwaani,
Nashukuru Mungu Mambo yanaenda vizuri mwaka mpya mambo mapya Alhamdullilah, ila upya huu umekuja na usingle. sasa basi kukua kwangu kote huwa nadumu sana kwenye mahusiano ila nikiachana na mtu napata moya gurudumu linaendelea ila sijawah kaa mda mrefu bila mahusiano.
Sasa mwaka huu nataka nijaribu labda nifike mwakani hivi lakin watu wananiambia ni ngumu sijui sitokuwa sawa je kuna ukweli wowote hebu wenye experience naomba mnipe muongozo kabla sijajicommit kwenye maimpossible things
Kaka mkubwa unataka kusema kwamba ,kine cha bibie kitapwita?Kwani we hapo unajisikiaje, yaani ukiona kidume shababi kinapita mbele yako hakuna sehemu yoyote ya nwili ina-vibrate?
Baada ya kupoteza muda mrefuuuu fundiUnafiki unafiki tu
Hahahahahah lazima tupambane mkuu maisha yenyewe hayaDaaah majukumu tuu ya hapa na pele swahiba ila kwa sasa nimerudi tena...
Sijui wenzangu wapo wapo wapi
Dogo ngoja tusikie kama atajibu, kukaa single tena bila kuwekana inahitaji moyo sana.Kaka mkubwa unataka kusema kwamba ,kine cha bibie kitapwita?
Mkuu nilipata hitilafu kidogo baada ya kuanguka kwa gorofa.Baada ya kupoteza muda mrefuuuu fundi
Hahahahahah lazima tupambane mkuu maisha yenyewe haya
ππ sorry! sasa wewe kidume gani umri huo bado hujaonja nyapu.Mkuu am a man...
Ndio mkuu.....Kwahiyo hujawahi onja ke yeyote yule...
Ngoja ajeDogo ngoja tusikie kama atajibu, kukaa single tena bila kuwekana inahitaji moyo sana.
Duuh pole sana mkuuMkuu nilipata hitilafu kidogo baada ya kuanguka kwa gorofa.
Asante sana mkuu kwa sasa niko poa japo mgongo naona una nisaliti kabisaDuuh pole sana mkuu
Tupo PAMOJA na Mimi pia πNdio mkuu.....
Hebu nione!Inawezekana sana... nina 27 yrs na sijawahi kuwa kwenye mahusiano.....
Pole sana mkuu....Mkuu nilipata hitilafu kidogo baada ya kuanguka kwa gorofa.
Aaaah mungu yu mwema mkuu utakaa SAWA tu kwa ImaniππAsante sana mkuu kwa sasa niko poa japo mgongo naona una nisaliti kabisa
You for real or just playin ?Mkuu nilipata hitilafu kidogo baada ya kuanguka kwa gorofa.