Isumbwile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 801
- 362
Habari zenu wadau,
I have a frnd of mine amekuwa ana spray deodorant sehemu za siri yaani akishamaliza kuspray pande za kwapa then off he goes down thea and sprays comfortably. Well alikuwa room mate enzi za chuo nikajua labda kutofahamu but recently amefikia mahali napoishi wakati anatafuta kazi hapa mjini and nimeona dat he still does the same routine. Nimemuuliza kama amepata any effects and amesema hapana but nikaona ngoja leo niwaulize wataalam je kama kuna madhara kwa kuspray deodorant sehemu za siri :confused3: