Hizi ni ndoto za abunuasi. Yani mwizi ajikosoe mwenyewe?Mama Sophia Simba atabaki na heshima kubwa isiyoonekana kichama kwa kufukuzwa kwake kisha akanyamaza,ni wakati wakuhitaji mawazo yake.
CCM ili iwe inajikosoa na kuikosoa Serikali bila uoga wowote ni wakati wakubadili mfumo wa Mwenyekiti kuwa ndiye Amiri jeshi mkuu,zipo hasara nyingi kwa chama kubadilika kupambana kihoja kuliko faida kwa chama.
Hili lisipochukuliwa kwa utafiti mkubwa hakika lipo anguko kubwa kwa chama.Chama kitakuja kufutika kwenye mifumo ya vyama vya siasa bila kutazamia.
Kujihami kwao sasa warejea rasmi silaha yao ya kubambikia,waweza kuwa wewe au Mimi,hili ni swala la muda tu.Hizi ni ndoto za abunuasi. Yani mwizi ajikosoe mwenyewe?
Dawa ya hao ccm ni kuwaondoshea mbali. Ni cancer hao hawafai kabisa hapa duniani.
Hatari sana mkuu hii. Ila mwisho wake upo tu.Kujihami kwao sasa warejea rasmi silaha yao ya kubambikia,waweza kuwa wewe au Mimi,hili ni swala la muda tu.
Haitokea kamwe! CCM na dola ni kitu kimoja. Ndiyo maana tunasema CCM ni chama dola.Hili lisipochukuliwa kwa utafiti mkubwa hakika lipo anguko kubwa kwa chama.Chama kitakuja kufutika kwenye mifumo ya vyama vya siasa bila kutazamia.
Walioweka hayo walifikiri mbali Sana....Mama Sophia Simba atabaki na heshima kubwa isiyoonekana kichama kwa kufukuzwa kwake kisha akanyamaza,ni wakati wakuhitaji mawazo yake.
CCM ili iwe inajikosoa na kuikosoa Serikali bila uoga wowote ni wakati wakubadili mfumo wa Mwenyekiti kuwa ndiye Amiri jeshi mkuu,zipo hasara nyingi kwa chama kubadilika kupambana kihoja kuliko faida kwa chama.
Hili lisipochukuliwa kwa utafiti mkubwa hakika lipo anguko kubwa kwa chama.Chama kitakuja kufutika kwenye mifumo ya vyama vya siasa bila kutazamia.
Hapo ndipo unawapa nguvu katiba ya chama badala ya katiba ya Nchi.Walioweka hayo walifikiri mbali Sana....
Tabia ya binadamu iko vilevile.....
Ukitenganisha KOFIA hizo ,iko siku yatatokea Kama yaliyotokea kule BURUNDI baina ya marehemu Nkurunzinza na Mwenyekiti wake.....
Inaweza kutokea mwenyekiti kwa KUTUMIWA NDANI AMA NJE....kwa uroho wake wa madaraka na kulinda maslahi yake/kikundi AKAMVUA uanachama RAIS WA NCHI mwenye majeshi.....asipokubali kujiuzulu basi huweza kutokea SINTOFAHAMU kubwa itakayogharimu Maisha ya RAIA WASIO NA HATIA.......
SIUNGI MKONO HOJA
#KaziIendelee
Hii ipo kwenye katiba yenu tu ccm vyama vingine hakuna mtaondoka tu na ndio kitendawili hiki kitakuwa kimetegukaWalioweka hayo walifikiri mbali Sana....
Tabia ya binadamu iko vilevile.....
Ukitenganisha KOFIA hizo ,iko siku yatatokea Kama yaliyotokea kule BURUNDI baina ya marehemu Nkurunzinza na Mwenyekiti wake.....
Inaweza kutokea mwenyekiti kwa KUTUMIWA NDANI AMA NJE....kwa uroho wake wa madaraka na kulinda maslahi yake/kikundi AKAMVUA uanachama RAIS WA NCHI mwenye majeshi.....asipokubali kujiuzulu basi huweza kutokea SINTOFAHAMU kubwa itakayogharimu Maisha ya RAIA WASIO NA HATIA.......
SIUNGI MKONO HOJA
#KaziIendelee
🤣🤣Hii ipo kwenye katiba yenu tu ccm vyama vingine hakuna mtaondoka tu na ndio kitendawili hiki kitakuwa kimeteguka
Wakati c milele kanu na zanu zilianzishwa pamoja na ccm Ila zikafa kwa heshima nyie mtaondoka kwa risasi na mabomu shaurianeni ujinga mtavuna mnachopanda.🤣🤣
Haya tutoeni...
😲😲🤣🤣Wakati c milele kanu na zanu zilianzishwa pamoja na ccm Ila zikafa kwa heshima nyie mtaondoka kwa risasi na mabomu shaurianeni ujinga mtavuna mnachopanda.